News Japan na Marekani zakubaliana kuhusu mkataba wa ulinzi

Japan na Marekani zakubaliana kuhusu mkataba wa ulinzi

-

 

Waziri Mkuu wa Japan, Yoshihide Suga amesema Japan na Australia zimekubaliana kuhusu mkataba wa ulinzi kati ya nchi hizo mbili. 

Mkataba huo wa ushirikiano zaidi wa kiulinzi ni mfumo wa kisheria unaoruhusu majeshi yao kuzitembelea nchi za kila mmoja na kufanya mafunzo na operesheni za pamoja. 

Suga ameyazungumza hayo wakati wa mkutano wa pamoja na waandishi habari na Waziri Mkuu wa Australia, Scott Morrison anayeizuru Tokyo. 

Nchi hizo mbili zimekuwa zikijadiliana kuhusu mpango wa ulinzi kwa miaka kadhaa ili kuimarisha uhusiano wao wa kiusalama, wakati ambapo China inaongeza ushawishi wake kwenye kanda hiyo. 

Hata hivyo, makubaliano hayo yanahitaji kuidhinishwa na wabunge.

Publisher
Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Leave a Reply

Latest news

Revenue seize 5.5m cigarettes with help of detector dog Kelly

Revenue seized over 5.5 million cigarettes at Dublin Port yesterday, with the assistance of detector dog Kelly. The seizure was...

Turkey slams France’s call for Nagorno-Karabakh independence

The French Senate's adoption of a resolution urging the government to recognise Nagorno-Karabakh as an independent republic is "ridiculous, biased...

Askofu Gwajima: Yajayo Kunduchi yanafurahisha

 Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima, amewetaka wakazi wa Kunduchi kuwa na subira wakati serikali inaendelea na...

8 pro-Iran fighters killed in Israel raid on Syria sites

Eight fighters in pro-Iran militias were killed in an Israeli raid on military sites located in the Jabal Al-Mane...

Too many people using homelessness services are dying, Varadkar says

Too many people using homelessness services are dying prematurely in Ireland, the Tánaiste has said. The number of deaths appears...

Must read

You might also likeRELATED
Recommended to you