News Kagere na Luis Miquissone kuikosa Coast Union leo

Kagere na Luis Miquissone kuikosa Coast Union leo

-

 

MEDDIE Kagere na Luis Miquissone wawili hawa wanatarajiwa kukosa mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Coastal Union utakaochezwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha.

Kagere raia wa Rwanda na Luis wa Msumbiji wamekuwa na pacha nzuri uwanjani ambapo kwa pamoja wamehusika kwenye mabao 12 kati ya 22 yaliyofungwa na Simba.

Kagere amefunga mabao manne na Luis amefunga bao moja na kutoa jumla ya pasi sita za mabao ndani ya msimu wa 2020/21. 

Mchezo wa leo utakuwa wa kwanza kwa Coastal Union kukutana na Simba kwa msimu wa 2020/21 jijini Arusha.

Kwa mujibu wa Meneja wa Simba, Abbas Ally,’Gazza’ amesema kuwa wawili hao wamechelewa kujiunga na timu kwa kuwa walikuwa na majukumu kwenye timu zao za Taifa.

“Tunatarajia kukosa huduma za wachezaji wawili Meddie Kagere na Luis Miquissone ambao walikuwa kwenye majukumu yao kwenye timu zao za Taifa, ” amesema.

Publisher
Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Leave a Reply

Latest news

IAEA: Iran’s top nuclear scientist stayed in shadows but his work was uncovered

Iranian scientist Mohsen Fakhrizadeh, who was killed on Friday, led a life of such secrecy that even his age...

Oman condemns assassination of Iranian scientist

In a phone talk with his Iranian counterpart, Mohammad Javad Zarif, the Omani diplomat offered solemn condolence to the...

Pope warns church against mediocrity as he is joined by new cardinals at Mass

Pope Francis, joined by the church’s newest cardinals at a Mass on Sunday, has warned against mediocrity as well...

UN envoy stresses need for political talks to end Yemen war

According to Al Mayadeen, Martin Griffiths said that the political talks between the parties involved in Yemen must begin...

Arab coalition targets areas near Sana’a airport

Yemen's Houthis accused the Saudi-led Arab coalition on Sunday of targeting areas under their control in capital Sana'a, Anadolu Agency reports. The...

Must read

You might also likeRELATED
Recommended to you