News Kocha afungiwa mechi mbili, Nugaz atozwa faini

Kocha afungiwa mechi mbili, Nugaz atozwa faini

-

Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imemtoza fainali ya shilingi 500,000, Afisa Mhamasishaji na Msemaji wa klabu ya Yanga Antonio Nugaz.

Nugaz ametozwa faini hiyo kwa kosa la kufanya mahojiano na wanahabari ndani ya eneo la kuchezea wakati wa mchezo wa Gwambina FC dhidi ya Yanga ambao ulimalizika kwa suluhu.

Kwa upande mwingine katika mchezo Namba 76 kati ya Simba SC dhidi ya Mwadui FC ambao ulimalizika kwa Simba kushinda 5-0, kocha Khalid Adam, amefungiwa mechi mbili kuongoza timu yake kwenye vyumba vya kubadilishia nguo na kwenye benchi la ufundi kwa kukataa mahojiano na wana habari.

Katika mchezo namba 79, kati ya Biashara United dhidI Yanga SC, klabu ya Yanga imetozwa faini ya shilingi 500,000 kwa kosa la mashabiki wao kuwapiga na kuwarushia mawe waamuzi wa mchezo wakati wakielekea kwenye vyumba vya kubadilishia nguo.

Publisher
Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Leave a Reply

Latest news

Space-mad boy surprised by astronaut Chris Hadfield on Late Late Show

A six-year-old space enthusiast who warmed Irish hearts with his appearance on national television got a Christmas gift of...

‘Official’ Wife Blasts MP Murunga’s Lover During Burial

The late Matungu MP Justus Matungu's first wife Christabel Murunga addressed the parliamentarian's alleged lover Agnes Wangui Wambiri during the funeral...

Police mount cross-border operation targeting criminals and drink-drivers

Police in Northern Ireland and the Republic are carrying out a cross-border operation targeting criminals and drink-drivers over the...

Malicious actions not to disrupt Iran-Afghanistan relations

The Iranian embassy in Kabul issued a statement following the release of videos in recent days in social media...

Must read

You might also likeRELATED
Recommended to you