News Mamia waandamana Ufaransa kupinga sheria mpya ya usalama

Mamia waandamana Ufaransa kupinga sheria mpya ya usalama

-

 

Maelfu ya watu wameandamana katika miji ya Ufaransa kupinga rasimu ya sheria ambayo itaweka mipaka juu ya kuwarekodi maafisa wa polisi wanapokuwa kazini, hatua ambayo imetajwa kama ya kubinya uhuru wa vyombo vya habari. 

Mnamo siku ya Ijumaa, bunge liliidhinisha sheria ya usalama iliyofanyiwa marekebisho ambayo inasema ni kosa kuchapisha picha za maafisa wa polisi walioko kazini kwa nia ya kuwadhuru kimwili au kisaikolojia.Mkusanyiko mkubwa wa watu wasiopungua 7,000 ulikuwa karibu na mnara wa Eiffel mjini Paris huku polisi ikikabiliana na baadhi ya watu kufuatia rabsha zilizotokea baada ya maandamano hayo.

Miongoni mwa watu walioshiriki maandamano hayo ni pamoja na vugu vugu la Vizibao vya njano na baadhi ya watu waliobeba bendera za vyama vya kikomunisti na chama cha kijani, pamoja na chama cha wafanyikazi.

Publisher
Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Leave a Reply

Latest news

2020 GITEX to host 20 Iranian Knowledge-based firms tomorrow

TEHRAN, Dec. 05 (MNA) – 20 Iranian knowledge-based firms and startups will participate at the 40th international exhibition of...

OPEC exempts Libya from oil production cut

Libya's National Oil Corporation (NOC) announced on Friday that the Organisation of Petroleum Exporting Countries (OPEC) had exempted it...

Kenya Power Explains Major Power Outage in Nairobi Estates

Residents from a number of Nairobi estates on Saturday, December 5, reported a power outage in their areas. In a statement,...

“Wider questions about Sinn Féin” must be answered after Stanley controversy, minister says

A Government minister says Brian Stanley's comments glorifying two IRA attacks raise wider questions about Sinn Féin's views on...

Uhuru’s Reaction as Bishop Throws Shade on BBI [VIDEO]

There was a rather awkward moment after CITAM Presiding Bishop David Oginde told President Uhuru Kenyatta that he had abandoned the church...

Iran, Congo discuss expansion of bilateral relations

The new Ambassador of the Islamic Republic of Iran, Mohammad Javad Shariati, met and held talks with the Minister...

Must read

You might also likeRELATED
Recommended to you