News Mauaji wa mtu mweusi yazua maandamano Brazil

Mauaji wa mtu mweusi yazua maandamano Brazil

-

 

Mwanamume mweusi aliyekufa baada ya kupigwa na walinzi wa duka kuu amezikwa Jumamosi kufuatia maandamano yaliyotokea kulaani mauaji hayo. Joao Alberto Silveira, baba wa watoto wanne, alizikwa akiwa amevaa fulana nyeupe ndani ya jeneza lenye bendera ya timu ya soka aliyoipenda katika mji wa Porto Alegre.

Mamia ya watu waliandamana kote nchini, wengi katika matawi ya duka kuu la Carrefour wakibeba mabango yalioandikwa “Maisha ya Watu Weusi ni Muhimu”, sawa na maandamano yaliofanyika Marekani ili kulalamikia ubaguzi wa rangi.

Polisi ilitumia maji ya kuwasha ili kuwatawanya waandamanaji nje ya maduka makuu katika mji wa kaskazini mashariki wa Recife.

Maandamano hayo yalichochewa kufuatia video iliyosambazwa mitandaoni inayoonyesha walinzi wa duka kuu la Carrefour wakimshambulia mwanamume mweusi Joao Alberto Silveira.

Walinzi hao wamekamatwa na huenda wakakabiliwa na kosa la mauaji.

Publisher
Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Leave a Reply

Latest news

Gardaí appealing for witnesses after five teenagers injured in Cork crash

Gardaí are appealing for witnesses after five teenagers were injured in a single vehicle road traffic collision in Youghal,...

Johnson and von der Leyen in emergency talks as time runs out on Brexit deal

British Prime Minister Boris Johnson and European Commission president Ursula von der Leyen are to hold emergency talks as...

Soleimani key figure in fight against US backed terrorists

“General Soleimani was key in the fight against regional terrorism the US, NATO and Israel support. That’s why he...

Post-Brexit trade talks: The sticking points

European Commission president Ursula von der Leyen and UK prime minister Boris Johnson will speak on Saturday in an...

Gardaí seize drugs worth €50,000 in Dublin operation

Gardaí seized drugs worth €50,000 after conducting a search operation in Ringsend, Co Dublin yesterday. The search was part of...

Must read

You might also likeRELATED
Recommended to you