News Mazungumzo ya Brexit yasimamishwa kwa Covid-19

Mazungumzo ya Brexit yasimamishwa kwa Covid-19

-

Mazungumzo ya Brexit yanayohusu EU na Uingereza yametangazwa kusimamishwa kwa muda baada ya mmoja wa wawakilishi kukutwa na virusi vya Corona (Covid-19).

Msimamizi wa mazungumzo ya Brexit wa EU Michel Barnier, alitoa maelezo kupitia mtandao wa kijamii na kufahamisha kusimamishwa kwa mazungumzo ya makubaliano yanayolenga kuboresha uhusiano wa kibiashara kati yao na Uingereza.

Barnier alisema, 

“Mmoja wa wawakilishi wa upatanishi kwenye timu yetu amekutwa na covid-19. Timu yetu ya wawakilishi pamoja na uoande wa David Frost tumechukuwa uamuzi wa kusimamisha mchakato wa mazungumzo ya Brexit ya Uingereza kwa muda mfupi.” 

Frost alizungumzia suala hilo kupitia mtandao wa kijamii na kusema, 

“Nawasiliana na Michel Barnier na kufuatilia kwa makini hii. La muhimu ni hali njema ya kiafya kwa timu yetu. Nashukuru baraza la EÜ kwa masaada wa dharura.”

Publisher
Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Leave a Reply

Latest news

Junior Minister calls for panel increases for All-Ireland finals

The Minister for State for Skills and Further Education is calling for the All-Ireland final panel sizes to be...

Funeral ceremony of martyr ‘Mohsen Fakhrizadeh’ starts at MoD

The ceremony was attended by the Chief of General Staff of Iranian Armed Forces Major General Mohammad Hossein Bagheri,...

Afghanistan condemns Fakhrizadeh’s assassination

In a message condemning the assassination of the prominent Iranian nuclear scientist Mohsen Fakhrizadeh, the Afghan Foreign Ministry expressed...

Covid-19 vaccine taskforce to meet today

The Covid-19 vaccine taskforce is due to meet later today,  as the country enters the final day of Level...

Must read

You might also likeRELATED
Recommended to you