News Mtoto mkubwa wa rais Trump aambukizwa virusi vya corona

Mtoto mkubwa wa rais Trump aambukizwa virusi vya corona

-

Mtoto wa kwanza wa rais wa Marekani aitwaye Donald Trump Jr. yuko karantini tangu jana Ijumaa baada ya kugundulika kuwa na maambukizi ya virusi vya corona.

 Hayo yameelezwa na msemaji wa familia ambaye amearifu kuwa mtoto huyo wa rais Donald Trump hana dalili za kutisha za COVID-19 na kwamba anaendelea kwa kuzingatia ushauri wa kitabibu. 

Trump Jr mwenye umri wa miaka 42 anakuwa mtu wa hivi karibuni kabisa kutoka familia ya rais Trump kuambukizwa virusi vya corona ambavyo tayari vimewauwa zaidi ya watu 250,000 nchini Marekani na wengine milioni 12 wameambukizwa. 

Rais Trump mwenyewe, mkewe Melania na mtoto wao wa mwisho Baron walipona COVID-19 baada ya kuambukizwa mwezi Oktoba. 

Rais mteule wa Marekani Joe Biden amesema suala la kukabiliana na janga la viruis vya coorna litakuwa kipaumbele cha utawala wake katika wakati rais Trump analaumu kwa kuchukua hatua za kusuasua kudhibiti kusambaa kwa maradhi hayo.

Publisher
Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Leave a Reply

Latest news

Gaiety Theatre to auction off projectors next week

The Gaiety Theatre is set to auction off two projectors next week, according to the Irish Times. The pair of...

Pompeo says Iran ‘desperately’ keen to return to talks for sanctions relief

US Secretary of State Mike Pompeo on Friday said Iran was "desperately" signaling its willingness to return to the...

Three men charged in Offaly over crime and anti-social behaviour

Three men have been charged as part of a crackdown on crime and anti-social behaviour in Co Offaly. They were...

UK and EU fail to reach deal as trade talks paused

UK and the European Union failed on Friday to secure a trade agreement, saying talks would be paused so...

Shilatu amaliza mgogoro wa kijiji na kijiji

  Na Mwandishi wetu Mihambwe Afisa Tarafa Mihambwe Emmanuel Shilatu amemaliza mgogoro kati ya kijiji cha Ng'ongolo na kijiji cha Miuta...

Must read

You might also likeRELATED
Recommended to you