News Mwanamuziki wa DR Congo Tshala Muana akamatwa

Mwanamuziki wa DR Congo Tshala Muana akamatwa

-

Vyanzo vya kiintelijensia vya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo vimethibitisha kuwa mwanamuziki maarufu nchini humo Tshala Muana amekamatwa.

Hadi kufikia sasa familia ya msanii huyo bado haijatoa taarifa yoyote lakini vyanzo vya habari nchini humo vinasema kwamba alikamatwa hapo jana majira ya mchana.

Hivi karibuni mwanamuziki huyo mwenye umri wa miaka 62 ametoa wimbo kwa jina, ‘kukosa shukrani’ ambao inaaminika kuwa ndio chanzo cha masaibu yake.

Mashairi ya wimbo huo yanaashiria mtu ambaye hakutajwa kwa jina alipewa mazingira mazuri yakumuwezesha maishani lakini amesahau kurejesha wema baada ya kuingia madarakani.

Wengi wanaamini kuwa mwanamuziki huyo ambaye ni mshindi wa tuzo mbalimbali anamzungumzia rais Felix Tshisekedi -lakini Tshala Muana bado hajathibitisha hilo.

Tshala Muana alikuwa karibu sana na familia ya aliyekuwa rais wa Congo Joseph Kabila.

Publisher
Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Leave a Reply

Latest news

Caspian containerized line kicks off between Iran, Russia

TEHRAN, Dec. 05 (MNA) – The activity of Caspian containerized line between Islamic Republic of Iran and Russia’s port...

Abshineh Dam Lake of Hamadan Province

HAMADAN, Dec. 05 (MNA) – Located 15 kilometers away from Hamedan Province in Hamedan-Malayer Highway, west-central Iran, Abshineh pond...

2020 GITEX to host 20 Iranian Knowledge-based firms tomorrow

TEHRAN, Dec. 05 (MNA) – 20 Iranian knowledge-based firms and startups will participate at the 40th international exhibition of...

OPEC exempts Libya from oil production cut

Libya's National Oil Corporation (NOC) announced on Friday that the Organisation of Petroleum Exporting Countries (OPEC) had exempted it...

Kenya Power Explains Major Power Outage in Nairobi Estates

Residents from a number of Nairobi estates on Saturday, December 5, reported a power outage in their areas. In a statement,...

“Wider questions about Sinn Féin” must be answered after Stanley controversy, minister says

A Government minister says Brian Stanley's comments glorifying two IRA attacks raise wider questions about Sinn Féin's views on...

Must read

You might also likeRELATED
Recommended to you