News Rais Putin aidhinisha pendekezo la kuunda kambi ya jeshi...

Rais Putin aidhinisha pendekezo la kuunda kambi ya jeshi nchini Sudan

-

Kulingana na raismu ya maamuzi iliyosainiwa na Putin, iliarifiwa kuwa pendekezo la Wizara ya Ulinzi ya Urusi lililowasilishwa kwa ajili ya kuunda kambii ya jeshi la majini katika bandari la Port Sudan nchini Sudan lilikubaliwa.

Hivyo basi, nchi ya Sudan itasaidia kutoa ardhi yake bure kwa ajili ya ujenzi wa kambi ya jeshi.

Urusi nayo itakuwa na haki ya kuleta kila aina ya silaha, risasi na vifaa vingine inavyohitaji kupitia viwanja vya ndege na bandari za nchini ya Sudan ili kusaidia kambi ya jeshi.

Meli 4, pamoja na wahudumu 300 na wafanyakazi wengine wa kikosi cha nyuklia wataweza kuendesha shughuli za  kambi hiyo kwa wakati mmoja.

Publisher
Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Leave a Reply

Latest news

Georgia elections official urges Trump to rein in supporters

A senior Georgia elections official on Tuesday called on President Donald Trump to rein in his supporters, lashing out...

US investigates potential bribery and lobbying schemes for pardons

The US Justice Department is investigating whether there was a secret scheme to lobby White House officials for a...

Barr appoints special counsel in Russia probe investigation

Attorney General William Barr has given extra protection to the prosecutor he appointed to investigate the origins of the...

US Covid death toll returns to grim early levels

Nearly 37,000 Americans died of Covid-19 in November, the most in any month since the early days of the...

Must read

You might also likeRELATED
Recommended to you