News Tekashi 69 ameachia Documentary ya maisha yake

Tekashi 69 ameachia Documentary ya maisha yake

-

 

Rapa machachari asiyeishiwa vituko kila leo, Daniel Hernandez maarufu Tekashi69 (24), ameachia Documentary ya maisha yake na imeanza kuoneshwa jana kupitia mtandao wa Hulu.

Documentary hiyo yenye jumla ya dakika 102 iliyopewa jina la “69: The Saga of Danny Hernandez” inazungumzia maisha yake tangu kuanza kuchomoza kwenye umaarufu.

Pia vitendo vyake ya utukutu, mikasa ya kwenye muziki, kuwasaliti genge lake la Nine Trey Gangsta Bloods kwenye kesi yake ya mwaka jana vimehusishwa.

Publisher
Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Leave a Reply

Latest news

S. Korea denounces assassination of Iranian nuclear scientist

"We stress that this kind of violent criminal act is not conducive to stability and peace in the Middle...

Intern’s #MeToo case finally reaches trial in China

A high-profile case of sexual harassment in China’s #MeToo movement involving a well-known state TV host has finally reached...

Junior Police Beats Up OCS in Public

A junior police officer in Meru County assaulted his senior in public and in front of his colleagues and...

Eneo lenye dhahabu laleta maafa, Baba ajeruhi

Jeshi la Polisi mkoa wa Geita, linawashikilia watu watatu wa familia moja kwa tuhuma za kumuuwa mama yao Selestina...

Must read

You might also likeRELATED
Recommended to you