News Trump kuhudhuria mkutano wa G20

Trump kuhudhuria mkutano wa G20

-

Mkutano wa kilele wa kundi la mataifa yaliyoendelea na yale yanayoinukia kiuchumi G20 unaanza leo chini ya mwenyeji Saudi Arabia, ukigubikwa hata hivyo na kiwingu cha janga la virusi vya corona. 

Shughuli za mkutano huo wa kilele ambao kwa kawaida huwakutanisha ana kwa ana viongozi wa madola yenye nguvu zimepunguzwa na badala yake kutakuwa na majadiliano mafupi kupitia njia ya video kuhusu masuala tete yanayoukabili ulimwengu hususan athari za janga la virusi vya corona. 

Rais Donald Trump wa Marekani atashiriki mkutano huo utakaojadilia pia suala la mabadiliko ya tabia nchi na kuongezeka kwa ukosefu wa usawa duniani. 

Kulingana na rasimu ya taarifa ya pamoja  itakayotolewa na viongozi watakaohudhuria, kundi la G20 litaahidi kufanya kila linalowezekana kudhibiti kusambaa janga la COVID-19 na kufufua uchumi wa ulimwengu.

Publisher
Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Leave a Reply

Latest news

UAE funding Russian Wagner mercenaries in Libya, says US

The US Department of Defence has indicated that the United Arab Emirates is financing Russian Wagner mercenaries operating in...

Cabinet approve purchase of 875,000 Moderna Covid vaccine doses

The Cabinet has agreed an advanced purchase order for 875,000 doses of the Moderna Covid-19 vaccine, according to the...

Two killed as car ploughs into pedestrian zone in German city

Two people were killed and several injured in the southwestern German city of Trier when a car drove into...

Egypt police detain dancer for ‘wearing an outfit betraying ancient heritage’

Egyptian police have detained a photographer and a dancer after they shot images outside the pyramids of Giza. Last week,...

Must read

You might also likeRELATED
Recommended to you