News Uchaguzi mkuu waanza nchini Burkina Faso

Uchaguzi mkuu waanza nchini Burkina Faso

-

Wananchi wa Burkina Faso wameanza rasmi zoezi la upigaji kura kwenye uchaguzi mkuu wa kumtafuta rais mpya wa nchi na wabunge 127.

Zoezi la upigaji kura lilianza rasmi saa 06.00 za asubuhi katika uchaguzi huo unaoshindanisha wagombea 13 wa nafasi ya urais.

Rais wa awamu ya mwisho Roch Marc Christian Kabore ambaye ameahidi kuimarisha hali ya usalama nchini humo anatarajiwa kuhifadhi kiti chake cha urais kushinda tena uchaguzi huo.

Shughuli ya upigaji kura inatarajiwa kumalizika saa 18.00 za jioni. Endapo hakutakuwa na mgombea yeyote wa urais atakayefikisha asilimia 50 ya kura kwenye duru ya kwanza ya uchaguzi, wagombea wenye kura nyingi zaidi watapambana tena kwenye duru ya pili.

Takriban wananchi milioni 6.5 wameweza kusajiliwa kama wapiga kura katika nchi ya Burkina Faso.

Publisher
Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Leave a Reply

Latest news

Junior Minister calls for panel increases for All-Ireland finals

The Minister for State for Skills and Further Education is calling for the All-Ireland final panel sizes to be...

Funeral ceremony of martyr ‘Mohsen Fakhrizadeh’ starts at MoD

The ceremony was attended by the Chief of General Staff of Iranian Armed Forces Major General Mohammad Hossein Bagheri,...

Afghanistan condemns Fakhrizadeh’s assassination

In a message condemning the assassination of the prominent Iranian nuclear scientist Mohsen Fakhrizadeh, the Afghan Foreign Ministry expressed...

Covid-19 vaccine taskforce to meet today

The Covid-19 vaccine taskforce is due to meet later today,  as the country enters the final day of Level...

Must read

You might also likeRELATED
Recommended to you