News Umoja wa Mataifa waonya kuhusu mzozo wa kiutu Ethiopia

Umoja wa Mataifa waonya kuhusu mzozo wa kiutu Ethiopia

-

 

Umoja wa Mataifa umesema mzozo kamili wa kibinaadamu unajitokeza kaskazini mwa Ethiopia, ambako maelfu ya watu kila siku wanalikimbia jimbo lenye machafuko la Tigray. 

Wakati shinikizo la kimataifa likiongezeka kuhusu kampeni yake dhidi ya viongozi waasi wa Tigray, Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed ametangaza kuwa operesheni zinaingia katika awamu ya mwisho. 

Serikali ya Abiy imethibitisha kufanyika mashambulizi mapya ya anga karibu na mji mkuu wa Tigray, Mekele. 

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuwahudumia wakimbizi, UNHCR limesema Waethiopia 27,000 wamekimbilia mashariki mwa Sudan. 

Msemaji wa UNHCR, Babar Baloch amesema wimbi hilo la wakimbizi halijawahi kushuhudiwa Sudan katika miongo miwili iliyopita. 

Abiy mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel kwa mwaka uliopita, Novemba 4 alitangaza operesheni ya kijeshi kujibu mashambulizi yaliyofanywa na vikosi vya chama tawala cha Ukombozi wa Watu wa Tigray, TPLF, dhidi ya kambi za jeshi la Ethiopia.

Publisher
Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Leave a Reply

Latest news

Israel asks its nuclear scientists to be cautious following Fakhrizadeh assassination

Following the assassination of Iranian nuclear scientist Mohsen Fakhrizadeh, Israeli security services have asked senior ex-nuclear scientists to take...

Iraqi Min terms Iran, Iraq academic relations fruitful

TEHRAN, Dec. 06 (MNA) – The Iraqi Minister of Higher Education described the bilateral cooperation between the two neighboring...

“Equality, Sincere Assistance Maneuver” in Tehran

TEHRAN, Dec. 05 (MNA) – The 6th edition of “Equality, Sincere Assistance Maneuver” was held at Saheb al-Zaman (PBUH)...

Space-mad boy surprised by astronaut Chris Hadfield on Late Late Show

A six-year-old space enthusiast who warmed Irish hearts with his appearance on national television got a Christmas gift of...

Must read

You might also likeRELATED
Recommended to you