News VIDEO: Wahamiaji haramu 36 wakamatwa, wanaowafadhili na kuwasafirisha kukiona...

VIDEO: Wahamiaji haramu 36 wakamatwa, wanaowafadhili na kuwasafirisha kukiona cha moto

-

Vyombo vya ulinzi na usalama Mkoa wa Dar es salaam vimefanikiwa kuwatia mbaroni Wahamiaji haramu 36 raia wa Ethiopia na Somalia walioingia nchini kinyume na taratibu ambapo Mkuu wa Mkoa huo Mhe. Aboubakar Kunenge ametoa onyo Kali kwa Raia wa Tanzania wanaoshiriki kuwafadhili na kuwasafirisha kwa ili wapate fedha.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI……USISAHAU KUSUBSCRIBE

Publisher
Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Leave a Reply

Latest news

Kiboko: ‘Kilichokamatwa ni chenga za mkaa sio dawa za kulevya’

MFANYABIASHARA Ayubu Kiboko amedai mahakamani kwamba kilichokamatwa nyumbani kwake ni chenga chenga za mkaa sio chenga zinazosadikiwa kuwa dawa...

Watumiaji maji bonde la Wami Ruvu kusajiliwa

Bodi ya Maji ya Bonde la Wami Ruvu imeanza shughuli ya kuwatambua wanaotumia maji kwa kuwasajili ili ifikapo Februari,...

VIDEO | Christopher Mwahangila – MOYO FURAHI

https://www.youtube.com/watch?v=FMGPf53IDLo ...

Northern Ireland passes ‘sad milestone’ of 1,000 coronavirus deaths

Coronavirus-linked deaths recorded by health officials in Northern Ireland have surpassed 1,000. Minister of Health Robin Swann said the region...

US backlash against UAE as rights groups urge end to arms sales

Twenty-nine arms control and human rights organisations have written to the US Congress to oppose the sale of $23...

Must read

You might also likeRELATED
Recommended to you