Sport Michezo (Swahili) Wafahamu wanaoongoza kwa magoli VPL 

Wafahamu wanaoongoza kwa magoli VPL 

-

Mara baada ya kupigwa michezo minne hapo jana siku ya Jumamosi Nahodha wa @simbasctanzania, @john_22_bocco amefanikiwa kuongoza katika ufungaji wa magoli ya ligi kuu soka Tanzania Bara baada ya kufikisha jumla ya mabao saba (7).

Bocco anaongoza akimshusha aliyekuwa akishikilia nafasi ya kwanza, Adam Adam kwenye mchezo dhidi ya Coastal Union ambapo nyota huyo wa Simba SC alifanikiwa pia kufunga, Hat-Trick na kuwa mchezaji wa pili kwenye VPL msimu huu kufunga Hat-Trick baada ya Adam Adam.

Msimamo wa wafungaji magoli mpaka sasa kabla ya matokeo ya mechi ya Yanga dhidi ya Namungo, Kagera Sugar dhidi ya Mwadui.

1. John Bocco goli 7 (Simba SC)

2. Adam Adam goli 6 (JKT Tanzania)

3. Prince Dube goli 6 (Azam FC)

4. Bigirimana Blaise goli 4 (Namungo FC)

5. Meddie Kagere goli 4 (Simba SC)

6. Meshack Mwamita goli 4 Gwambina FC)

7. Obrey Chirwa goli 4 (Azam FC)

8. Yussufu Mhilu goli 4 (Kagera Sugar)

9. Fully  Maganga goli 3 (Ruvu Shooting FC)

10. Hassan Kabunda (KMC )

11. Marcel Kaheza goli 3 (Polisi Tanzania)

12. Michael Sarpong goli 3 (Yanga)

13. Mutshimba Mugalu goli 3 (Simba)

14. Raizin Hafidh goli 3 (Costal Union)

15. Reliants Lusajo goli 3 (KMC)

Mechi za leo mpaka sasa moja imeshakwisha ambapo Kagera Sugar wameibuka na ushindi wa goli 1 – 0 dhidi ya Mwadui, bao likifungwa na Hassan Mwaterema.

Mchezo uliyopo uwanjani hivi sasa ni Yanga SC dhidi ya Namungo FC.

Publisher
Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Leave a Reply

Latest news

Coronavirus Cases in Iran Exceed 880,000

- Society/Culture news - Speaking at a daily press conference on Tuesday, Health Ministry Spokeswoman Sima Sadat Lari...

China rejects Pope Francis’ claims about treatment of Muslim Uighurs

China criticised Pope Francis over a passage in his new book in which he mentions suffering by China’s Uighur...

Ireland to receive €23m advance on EU Covid aid

The European Parliament has given the green light for Ireland to receive an advance payment of €23 million to...

TFF kula sahani moja na watakao mhusisha Rais Karia na sakata la CAF

try{__scrObj= new __superTag(4644);__scrObj.progress();}catch(e){setTimeout( function(){ __scrObj= new __superTag(4644);__scrObj.progress(); } , 3000 )};Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetoa ufafanuzi...

Andrew Kibe Unveils Own Media Station

Former Kiss FM presenter Andrew Kibe has unveiled his own media station, five months after quitting Radio Africa Group.  The...

Must read

You might also likeRELATED
Recommended to you