Kocha mpya wa Simba SC Didier ameahidi Ubingwa wa Ligi Kuu ili timu hiyo iendelee kupata nafasi ya kushiriki michuano ya Klabu Bingwa Barani Afrika ikiwa kama lengo lao namba moja na kuhakikisha mabingwa hao watetezi kuvuka hatua ya makundi ya CAF.
”Ubingwa wa ligi ni muhimu sana, ni lengo kuu la klabu kwasababu wanahitaji kucheza Klabu bingwa kila mwaka. Ninachofikiria kuhusu hili group la Klabu Bingwa kila timu inayonafasi.” Kocha Didier Gomes Da Rosa.
- Advertisement -
Kuangalia video bofya HAPA
- Advertisement -