Connect with us

News

Halmashauri ya wilaya Tunduru kinara ukusanyaji mapato ya ndani mkoani Ruvuma

Published

on

MKUU wa mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme, ameipongeza Halmashauri ya wilaya ya Tunduru kwa kufanikisha kukusanya mapato ya ndani kwa asilimia 121.87 katika mwaka wa fedha 2019/2020 na kuufanya mkoa huo kushika nafasi ya kwanza kimkoa.

Mkuu wa mkoa amesema hayo jana wakati akifungua kikao cha kamati ya ushauri ya mkoa(RCC)kilichofanyika mjini Songea na kusistiza kuwa,Halmashauri hiyo imeonesha mfano bora katika suala zima la ukusanyaji mapato na kuzitaka Halmashauri nyingine kuongeza jitihada za makusudi  ili kufikia malengo iliyopewa.

“nakupongeza sana Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Tunduru Gaspar Balyomi,hakika umefanya kazi kubwa na  mzuri  katika suala zima la kukusanya mapato ya ndani,hongere sana kwa kazi nzuri unapaswa kuigwa na wakurugenzi wengine wa mkoa wangu”alisema.

Alisema, mafanikio hayo yametokana na dhamira ya kweli kwa watumishi wake, kudhibiti upotevu wa fedha zinazokusanywa kutoka vyanzo mbalimbali na kudhibiti matumizi ya ovyo ambayo yanasababisha baadhi ya Halmashauri kushindwa kufikia malengo yake.

Mkuu wa mkoa, ameipongeza Halmashauri ya Manispaa ya Songea kwani  tangu imeanza kutumia stendi kuu ya Shule ya Tanga kuanzia tarehe 1 Januari 2021 imeongeza  mapato ya ndani yatokanayo na ushuru wa stendi na choo kutoka shilingi 200,000 hadi kufikia 900,000 kwa siku.

Aidha, amefurahishwa na kazi nzuri iliyofanywa na Mamlaka ya mapato(TRA) ambayo kwa mwaka wa fedha 2019 imeweza kukusanya bilioni15,885,857,987.22 sawa na asilimia 94 na katika kipindi cha nusu  ya kwanza ya mwaka wa fedha 2021 tayari imekusanya jumla ya shilingi bilioni 16,365,091,735.82 ambayo ni sawa na asilimia 105.

Mndeme alisema, kutokana na kazi nzuri zinazofanywa na idara,sekta na taasisi za serikali mkoa unatarajia kuongeza mapato yatokanayo na kodi pamoja na ushuru kwa kuwa barabara ya Ushoroba wa Mtwara imefunguka na kupelekea maeneo kutoa fursa nyingi za kibiashara ambazo zipo katika  maeneo mengine ya nchi nan chi jirani za Malawi na Msumbuji.

Alisema, maeneo hayo yanaunganishwa na kuwepo kwa usafiri wa ndege kupitia uwanja wa Songea ambao upo katika hatua za mwisho za kukamilika na utaanza kufanya kazi  hivi karibuni sambamba na Meli ya MV Mbeya 11 iliyoanza  kazi ya kusafirisha abiria na mizigo  kati ya mkoa wa Mbeya na Mbambabay kupitia Ziwa Nyasa.

Akizungumzia hali ya chakula katika msimu wa mavuno 2019 hadi 2021 ambacho chakula chake kinatumika katika msimu wa 2020/2021 alisema, mkoa ulifanikiwa kuvuna  tani 1,355,509 wakati mahitaji ya wakazi wa mkoa huo ni tani 469,172 na kuwa na ziada ya tani 886,337.

Alisema, uzalishaji huo unaufanya mkoa wa Ruvuma kuendelea kushika nafasi ya kwanza kwa uzalishaji wa mazao ya kilimo kwa mara ya pili mfululizo na hayo ni matokeo ya wananchi wa mkoa huo kwa kuendelea kujituma katika shughuli za kilimo bila kulazimishwa.

Kuhusu ununuzi wa mazao ya ufuta,mbaazi na soya kwa msimu wa kilimo 2020  umefanyika kupitia mfumo wa stakabadhi  mazao gharani  ambapo umesaidia kupatikana  shilingi bilioni 28,715,523,054.50 kati ya hizo,mapato ya ufuta ni shilingi bilioni 25,062,688,275.50,Soya bilioni 1,067,158,147.00 na mbaazi shilingi bilioni 2,585,676,632.00.

Alisema, mkoa unaendelea kushirikiana na taasisi zingine za serikali katika kusimamia zoezi la ununuzi wa korosho kutoka kwa wakulima ambapo hadi sasa jumla ya kilo milioni 14,826,644 za zao hilo zenye thamani ya shilingi bilioni 33,893,774,357.00 zimeuzwa na minada  bado inaendelea.

 

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

News

China yaipiku Marekani na kuchukua nafasi ya kwanza kama kivutio cha uwekezaji wa kigeni duniani

Published

on

China imeipiku Marekani kama eneo linalolengwa na uwekezaji wa moja kwa moja wa kigeni kulingana na takwimu za UN zilizotolewa siku ya Jumapili.

Nusu ya uwekezaji mpya nchini Marekani kutoka katika makampuni ya kigeni ulishuka mwaka uliopita hatua iliosababisha taifa hilo kupoteza nafasi yake ya kwanza.

Kwa upande mwingine, takwimu hizo zinaonyesha uwekezaji wa moja kwa moja katika kampuni za Wachina uliongezeka kwa asilimia 4 , na kulifanya taifa hilo kuchukua nafasi ya kwanza duniani.

Kupanda kwa China kunaonesha ushawishi wake katika sekta ya kiuchumi duniani.

China ilijipatia kipato cha $163bn (£119bn) mwaka uliopita , ikilinganishwa na $134bn zilizoingia Marekani, Mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu Biashara na Maenedeleo (UNCTAD) ulisema katika ripoti yake.

Mwaka 2019, Marekani ilipokea $251bn kupitia uwekezaji wa moja kwa moja wa kigeni huku China ikijipatia$140bn.

Huku China ikiwa katika nafasi ya kwanza kwa uwekezaji mpya wa kigeni, Marekani bado inatawala katika uwekezaji wa jumla kutoka mataifa ya kigeni.

Hii inaonyesha miongo ambayo imetumia kama eneo la kuvutia zaidi kwa wafanyabiashara wa kigeni wanaotafuta kupanua biashara zao ng’ambo.

Lakini wataalam wanasema takwimu hizo zinasisitiza hatua ya Uchina kuelekea katikati mwa uchumi wa ulimwengu ambao kwa muda mrefu umetawaliwa na Marekani, taifa lenye uchumi mkubwa zaidi duniani .

China , kwa sasa inayohusika katika vita vya kibiashara na Marekani , ilitabiriwa kwamba italipiku taifa hilo kufikia 2028, kulingana na kituo cha Utafiti wa kiuchumi na Biashara CBR kutoka Uingereza.

Continue Reading

Kenya

Kibicho Heads to DCI After Sonko Election Claims

Published

on

 • Ministry of Interior and Coordination of National Government Principal Secretary Karanja Kibicho has gone to the Directorate of Criminal Investigations headquarters to record a statement regarding utterances made by former Nairobi Governor Mike Sonko.

  While addressing members of the public at a rally in Dagoretti South on Sunday, January 24, 2021, Sonko alleged that he along with Kibicho, and other state officials, stage-managed some of the chaos experienced in the country during the 2017 general election.

  The former Nairobi Governor accused the “deep state” and “system” of the chaos experienced in the country in 2017. Sonko alleged that he was involved in the planning of the chaos with the aim of portraying the ODM Party as the culprits. 

  Interior PS Karanja Kibicho arrives at DCI Headquarters on January 25, 2021.
  Interior PS Karanja Kibicho arrives at DCI Headquarters on January 25, 2021.
  File

  “The deep state and system have started burning vehicles so that hustlers can be blamed for the chaos.

  The former Nairobi County boss made the pronouncements, further issuing a warning against blaming the chaos on the ‘hustlers’ in the country.

  Kibicho is expected to record a statement with the DCI substantiating the damning allegations made by Sonko. This would probably pave way for investigations into the matter.

  Interior PS Karanja Kibicho enters the DCI Headquarters on January 25, 2021.
  Interior PS Karanja Kibicho enters the DCI Headquarters on January 25, 2021.
  File

  More to Follow…

 • Continue Reading

  Africa

  Biden suspends Trump’s immunity for ex-Egypt PM

  Published

  on

  The new US administration of Joe Biden has suspended the request of immunity for former Egyptian Prime Minister Hazem El Beblawi in a torture case brought to courts by US citizen Mohamed Soltan, the legal reporter for the Washington Post Spencer Hsu tweeted on Saturday.

  In July, the US State Department declared that El Beblawi, who is serving on the executive board of the International Monetary Fund (IMF), should be immune from a federal lawsuit brought by a US citizen seeking to hold him liable for torture, the Washington Post reported.

  The Post said this came after diplomatic pressure from the Egyptian government aimed at blocking the lawsuit.

  Following that decision, several US lawmakers and human rights groups accused Egypt of blackmailing the Trump administration by threatening to weaken their strategic partnership in the Middle East.

  Soltan, an Egyptian-American citizen, was imprisoned in Egypt following the violent crackdown on the peaceful anti-military coup protests that took place in Egypt in 2013. Under much pressure from the US, he was released on condition of giving up his Egyptian citizenship.

  Since then, Soltan, who launched a hunger strike in protest of his detention and torture, has been vocal about the Egyptian authorities’ abuses against other detainees, including his father and other family members.

  Sultan filed a lawsuit against El Beblawi in June 2020, accusing him along with Egyptian President Abdel Fattah Al-Sisi, his former office manager Abbas Kamel, head of the General Intelligence Service and three former leaders of the Ministry of Interior, of “torturing him in Tora Prison”.

  Take a look at our special page on the Egyptian Arab Spring

  Continue Reading