Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na CEO wa lebo ya @kondegang @harmonize_tz ameachia video ya ngoma yake ya #Anajikosha yenye mahadhi ya AMAPIANO .
- Advertisement -
Harmonize ameahidi kuwa hiyo ni trialler ngoma ya kufungulia mwaka inakuja akiwa na Anjella.
- Advertisement -