#LIVE​: Ibrahim Class Vs Dennis Mwale, Tervel Pulev Vs Vikapita Merero, Shabani Jongo Jongo Vs Shawn Miller (+Video)

-

BongoFive kwa kushirikiana na @jacksongroup.sports tutakuletea mapambano haya moja kwa moja kutoka Masaki hakikisha unakuwa karibu na kurasa zetu za mitandao ya kijamii.

Kuangalua Video Bofya HAPA

- Advertisement -

Tunasema RumbleInDar, kama bango linavyosomeka. @jacksongroup.sports wanakuletea Mapambano ya Ngumi ya kukata na shoka, mabondia kutoka Tanzania, Zimbabwe, Malawi, Namibia, Afrika Kusini, Zambia, Congo, Botswana, Bulgaria na Marekani. Hakikisha unapata tiketi yako mapema ili kuepusha usumbufu.

NI USIKU WA VITASA JANUARI 29, 2021 NEXTDOOR ARENA

TIKETI ZINAPATIKANA

OLIVE – Masaki

JACKIES – Oysterbay

JUST FIT – M/City- Sayansi

BIG JOE BARBERSHOP – Masaki/Mbezi

THE MBONI LOOK – Dar Free Market

REGENCY PARK – Mikocheni

ALLY REHMTULLAH – Masaki

- Advertisement -
Publisher
Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Latest news

Must read

You might also likeRELATED
Recommended to you