Connect with us

Michezo (Swahili)

#LIVE: Yanga Vs Simba Finali ya Mapinduzi Cup 2021, mashabiki wafurika (+Video)

Published

on

Mashabiki wa soka wajaa katika Uwanja wa Amani kushuhudia mchezo wa fainali wa Mapinduzi Cup baina ya Yanga SC dhidi ya Simba SC.

Kuangalkia Video bofya HAPA

Click to comment

Leave a Reply

Michezo (Swahili)

Diamond apima afya mbele ya waandishi, apewa ushauri, aomba jina aandike mwenyewe (Video)

Published

on

Msanii wa muziki @diamondplatnumz amepima afya mbele ya waandishi wa habari katika zoezi la upimaji afya bure linaloendeshwa na Wasafi Media kuelekea kwenye tamasha la Wasafi Tumewasha na Tigo ambalo litafanyika tarehe 30 mwezi huu katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar Es Salaam.

Continue Reading

Michezo (Swahili)

Mume wa Mama Diamond, Ancle Shante afunguka alichojifunza sakata la Mzee Abdul (Video)

Published

on

Mume wa Mama Dangote, Uncle Shante amefunguka kuzungumzia kwa mara ya kwanza sakata la mke wake Mama Diamond, Diamond pamoja na Mzee Abdul ambaye alikuwa anajulikana kama baba yake.

Wiki iliyopita Mama Diamond kupitia kituo cha Wasafi Redio alitamka kwamba mtoto wake huyo baba yake sio mzee Abdul kama watu wanavyofahamu.

Kauli hiyo ilizua utata mkubwa sana kila mtu akiwa na maoni yake juu ya jinsi Mama Dangote alivyotangaza hadharani jambo hilo.

Kuangalia full interview tembelea YouTube ya Bongo5

Written and edited by @yasiningitu @beleghetz

Continue Reading