Connect with us

News

Maagizo ya Waziri Ndaki kwa waliokaidi mkataba wa NARCO

Published

on

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mashimba Ndaki ametoa siku kumi kwa Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO) kubaini na kuwanyang’anya maeneo, wawekezaji waliopatiwa vitalu katika ranchi za taifa ambao wamebadili matumizi ya ardhi kinyume na makubaliano ya mikataba yao.

Waziri Ndaki amebainisha hayo wakati alipotembelea Ranchi ya Usangu iliyopo Wilaya ya Mbarali Mkoani Mbeya alipokuwa kwenye ziara ya kikazi ya siku mbili mkoani humo na kufanya mkutano wa hadhara na baadhi ya wawekezaji, wakulima na wafugaji, ambao wanafanya shughuli zao katika ranchi hiyo na kubaini kuwa baadhi ya wawekezaji waliopatiwa vitalu na NARCO kwa ajili ya kufuga na kulima malisho ya mifugo wamekuwa wakikodisha maeneo hayo kwa wakulima na wafugaji kinyume na mkataba.

“NARCO siku kumi nadhani zinawatosha kubaini watu wanaojiita wawekezaji, waliobadilisha matumizi ya ardhi ambayo siyo kufuga wala malisho wanyang’anywe maeneo kwa kuwa wameenda kinyume na utaratibu wa mkataba kati yao na NARCO, na mimi nitafuatilia nitapenda kupata taarifa mmepata wangapi na wangapi wamenyang’anywa kwa kuwa wameenda kinyume na utaratibu waliokubaliana.” Ndaki

Waziri Ndaki amelazimika kutoa kauli hiyo baada ya kupata taarifa kutoka kwa baadhi ya wakulima na wafugaji wa Wilaya ya Mbarali kuwa wamekuwa wakikodishwa maeneo ya ranchi hiyo na wawekezaji kwa shilingi elfu ishirini kwa hekari moja kwa ajili ya kilimo na madebe kumi ya nafaka baada ya mavuno kwa kila hekari moja, huku wafugaji wakilipa takriban shilingi milioni mbili kwa hekari moja katika kipindi cha miezi minne kwa ajili ya kulisha mifugo yao kwenye maeneo ya wawekezaji ambao wamepatiwa vitalu na NARCO kwa mkataba wa kufuga au kulima malisho ya mifugo.

Amefafanua kuwa mkataba wa NARCO na wawekezaji kwa ajili ya kufugia mifugo na kulima malisho hauruhusu wawekezaji kukodisha eneo kwa mtu mwingine kwa ajili ya shughuli zozote kwa kuwa maeneo ya ranchi za taifa ni mali ya Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO).

Kuhusu deni la zaidi ya Shilingi Bilioni Sita ambalo NARCO inawadai wawekezaji waliopatiwa vitalu katika ranchi za taifa zilizopo kwenye maeneo mbalimbali nchini, Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Mashimba Ndaki ameutaka uongozi wa NARCO kufikia Tarehe 15 Mwezi Februari Mwaka 2021 saa saba mchana awe amepata taarifa ya wawekezaji waliolipa madeni yao pamoja na ambao bado hawajalipa, kabla ya kuchukuliwa kwa hatua zaidi.

“Wawekezaji wote ambao tunawadai hapa Usangu na kwenye ranchi zingine wote walipe pesa ya NARCO tulipokubaliana kwenye mkataba tulikubaliana mtalipa pesa, mlipe madeni yenu ifikapo tarehe 15 mwezi februari saa saba mchana muwe mmelipa madeni yenu tunataka NARCO ijiendeshe kibiashara, lakini sioni tukielekea kwenye kujiendesha kibiashara na moja ya matatizo yanayotufanya tusifike huko ni kulea watu wa namna hii.” Ndaki.

Ameongeza kuwa wale ambao hawatakuwa wamelipa hadi kufikia muda huo wanyang’anywe maeneo hayo ili wapatiwe watu wengine ambao wataweza kulipa kwa mujibu wa mkataba ili NARCO iweze kufikia malengo yake na kulalamika kuwa NARCO imechelewa kuchukua hatua kwa watu ambao wamekuwa na madeni ya siku nyingi.

Amesema kuwa wizara imefanya tathmini juu ya madeni hayo na kuagiza yalipwe katika viwango na tozo mpya zilizowekwa kwa sababu imejiridhisha kwamba kwa gharama hizo NARCO itaweza kujiendesha na kuhudumia vizuri ranchi zake.

Kwa mujibu wa taarifa ya NARCO iliyotolewa na Kaimu Meneja Mkuu wa kampuni hiyo Bw. Masele Mipawa, maeneo ya vitalu katika ranchi za taifa yanayokodishwa kwa wawekezaji yamegawanywa katika viwango vitatu, ambapo kiwango cha chini ni Shilingi 3,500/= kwa hekari moja kuanzia eneo lenye hekta 1 hadi 2000, kiwango cha kati ni Shilingi 5,500/= kwa hekari moja kuanzia eneo lenye hekta kuanzia hekta 2001 hadi 5000 na kiwango cha juu ni Shilingi 7,500/= kwa hekari moja kuanzia eneo lenye hekta zaidi ya 5001.

Aidha Waziri Ndaki, amemuagiza Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi anayeshughulikia Mifugo Prof. Elisante Ole Gabriel kwa kushirikiana na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kuangalia namna ya kukodisha maeneo ya ranchi za taifa kwa wakulima ambao wanaweza kulima malisho ya mifugo ili kuondokana na migogoro ya wakulima kupata maeneo kwa ajili ya kilimo ili kujikwamua kiuchumi.

Amesema ni muda muafaka kwa wizara kuangalia namna wananchi wanavyoweza kutumia maeneo hayo kwa ajili ya tija kwa taifa badala ya kusubiri wawekezaji ambao baadhi yao wamekuwa wakienda kinyume na makubaliano ya mikataba na kuwafanya wananchi wanaoishi karibu na ranchi za taifa kukosa maeneo kwa ajili ya kufanya shughuli zao za kiuchumi.

Kwa upande wake Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi anayeshughulikia Mifugo Prof. Elisante Ole Gabriel amesema atahakikisha anasimamia maelekeo yote yaliyotolewa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Mashimba Ndaki likiwemo la wawekezaji kulipa madeni ya vitalu walivyokodishwa ili Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO) inayomiliki maeneo hayo iweze kujiendesha kibiashara kama moja ya malengo ya kampuni hiyo kupitia maeneo yake.

Katika mkutano huo Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mashimba Ndaki na baadhi ya wakulima, wafugaji na wawekezaji wanaofanya shughuli zao kwenye Ranchi ya Usangu iliyopo Wilaya ya Mbarali, Bibi Uliya Mahenge amemuomba Waziri Ndaki kuwapatia wakulima maeneo kwenye ranchi za taifa ili waweze kujikwamua kiuchumi kupitia kilimo huku wakilipa kodi ya serikali ya maeneo hayo watakayokidishwa kama ambavyo wafugaji wanavyopatiwa vitalu kwa ajili ya kufugia mifugo kwenye ranchi hizo.

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mashimba Ndaki amemaliza ziara ya kikazi ya siku mbili mkoani Mbeya ambapo katika ziara hiyo alikuwa na lengo la kufahamu changamoto zilizopo kwenye Ranchi ya Usangu ambayo ni moja ya ranchi zinazomilikiwa na Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO) ambayo ipo chini ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

News

Again, FG to shut down Third Mainland Bridge Friday

Published

on

The federal government will again shut down the Third Mainland Bridge this weekend for another round of expansion joints replacement.

The bridge would be closed from midnight on Friday to midnight on Monday, February 1.

Federal Controller of Works Lagos, Olukayode Popoola made the announcement on Wednesday.

Popoopla told NAN that construction works had reached the stage for casting concrete on additional three expansion joints.

He said there was a need to stop all movements on the bridge that could cause vibrations.

The official appealed for the understanding of Lagos residents.

“Messers Boroni Prono is planning to cast three number expansion joints on Saturday 30th and Sunday 31st. We are sorry for the inconveniences this may cause Lagosians,” he said.

The bridge, which links the mainland and island, was partially shut from July 24, 2020.

Since then, other routes that usually witnessed traffic are now mostly blocked.

Again, FG to shut down Third Mainland Bridge Friday

Continue Reading

News

COVID-19: Buhari signs new regulations for churches, markets, use of face masks

Published

on

President Muhammadu Buhari has signed the Coronavirus Disease Health Protection 2021.

The regulation makes the use of face masks in public places compulsory, as Nigeria battles with the second wave of COVID-19.

This was confirmed by Boss Mustapha, the Chairman of the Presidential Task Force (PTF) on COVID-19, while addressing journalists in Abuja on Wednesday.

Mustapha, who is also the Secretary to the Federal Government, confirmed Buhari signed the document on Tuesday.

According to him, the President signed the document in the exercise of the powers conferred by Section 4 of the Quarantine Act, Cap. Q2 Laws of the Federation of Nigeria 2010.

Part 2 of the regulation stipulates that no one will be allowed within the premises of a market, mall, supermarket, shop, gardens, leisure parks, recreation centres, restaurants, hotels, event centres, motor parks, fitness centre, etc “except he is wearing a face mask that covers the nose and mouth, he washes his hands or cleaned the hands using hand sanitiser approved by NAFDAC and his body temperature has been checked.

Anyone whose body temperature is above 38 degrees Celsius will be denied entry and advised to seek immediate medical attention.

Part 1 deals with restrictions on gatherings. It stipulates that at all gatherings, a two-metre physical distance shall be maintained at all times between persons.

It added, “No gathering of more than 50 persons shall be held in an enclosed space, except for religious purposes, in which case the gathering shall not exceed 50 per cent capacity of the space.”

Continue Reading

News

Cross River Assembly to confirm Justice Akom Ikpeme as substantive Chief Judge Thursday

Published

on

An operative with the Economic and Financial Crimes Commission (EFCC), Mr Bello Hamma-Adama, on Wednesday, told a Federal High Court in Abuja that a sum of N75 million was recovered from Halima, wife of a former Minister for Special Duties and Inter-Governmental Affairs, Tanimu Turaki.

Tanimu Turaki was a Minister in the President Goodluck Jonathan-led government between 2013 and 2015.

Turaki also served as a supervising Minister for the Federal Ministry of Labour between 2014 and 2015.

Hamma-Adama, the 5th prosecution witness (PW5) in the ongoing trial of Turaki, made the disclosure before Justice Inyang Ekwo of the Federal High Court, Abuja.

He, however, said the money was later transferred in tranches into private individuals’ accounts.

Giving the breakdown, Hamma-Adama, who was the lead investigator in the agency, said N45 million was transferred to the Minister’s brother, Abdullahi Maigwandu, through his Zenith Bank account.

Out of the N45 million, he said Maigwandu transferred N20 million to the Guarantee Trust Bank account of Halima Tanimu Turaki, the ex-minister’s wife.

According to him, the sum of N20 million was transferred to O-Pec Nig Ltd.

Hamma-Adama said that the remaining N5 million was withdrawn in China using the ATM of Maigwandu by Halima to procure furniture items.

He said, “N30 million was transferred to Abubakar Sani Gude’s Zenith Bank account from the ministry’s account, and the N30 million was sent to the wife of the 1st defendant (Turaki).

“We called for the Maigwandu’s account statement in Zenith Bank. We discovered he is a civil servant in Kebbi on a salary of about N33, 000.

“We suspected a case of money laundering, and we did a network analysis, and we discovered that he could not have owned that money because he is on N33, 000 salary.”

“He said he is a brother to the former minister and that the money was transferred on his instruction,” he added.

However, the Judge, Justice Ekwo adjourned the matter until Feb. 9 and Feb. 10 for trial continuation.

Recall that the EFCC had arraigned the former Minister (1st defendant) alongside his former Special Assistant, Sampson Okpetu (2nd defendant), and two firms; Samtee Essentials Ltd and Pasco Investment Ltd, on 16 counts of money laundering.

The duo had pleaded not guilty to the charges.

Continue Reading