Mume wa Mama Diamond, Ancle Shante afunguka alichojifunza sakata la Mzee Abdul (Video)

-

Mume wa Mama Dangote, Uncle Shante amefunguka kuzungumzia kwa mara ya kwanza sakata la mke wake Mama Diamond, Diamond pamoja na Mzee Abdul ambaye alikuwa anajulikana kama baba yake.

Wiki iliyopita Mama Diamond kupitia kituo cha Wasafi Redio alitamka kwamba mtoto wake huyo baba yake sio mzee Abdul kama watu wanavyofahamu.

- Advertisement -

Kauli hiyo ilizua utata mkubwa sana kila mtu akiwa na maoni yake juu ya jinsi Mama Dangote alivyotangaza hadharani jambo hilo.

Kuangalia full interview tembelea YouTube ya Bongo5

Written and edited by @yasiningitu @beleghetz

- Advertisement -
Publisher
Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Latest news

Must read

You might also likeRELATED
Recommended to you