Shwan Miller atua Bongo kimya kimya, mpinzani ajipange (+Video)

-

Bondia wa uzito wa juu raia wa Marekani, Shawn Miller ametua nchini usiku wa kuamkia leo siku ya Jumapili tayari kwaajili pambano lake la raundi 10 dhidi ya Mtanzania Shabani Jongo litakalopigwa Januari 29, 2021 pale Next Door Arena, Oysterbay likiwa ni la WBF Intercontinental Heavy Weight.

- Advertisement -

Baada ya kutua Dar, Shawn Miller atamba kila pambano kwake ni la muhimu. Tunasema RumbleInDar, @jacksongroup.sports wanakuletea Mapambano haya ya Ngumi ya kukata na shoka, listi ni mabondia kutoka Tanzania, Zimbabwe, Malawi, Namibia, Afrika Kusini, Zambia, Congo, Botswana, Bulgaria na Marekani.

Hakikisha unapata tiketi yako mapema ili kuepusha usumbufu. TIKETI ZINAPATIKANA OLIVE – Masaki JACKIES – Oysterbay JUST FIT – M/City- Sayansi BIG JOE BARBERSHOP – Masaki/Mbezi THE MBONI LOOK – Dar Free Market REGENCY PARK – Mikocheni ALLY REHMTULLAH – Masaki CENTURY CINEMA – M.City/ Dar Free Market/ Aura Mall
- Advertisement -
Publisher
Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Latest news

Must read

You might also likeRELATED
Recommended to you