Tigo yaungana na mawakala wa Tigo Pesa kuhitimisha promosheni ya Tigo Pesa Wakala Push, yatoa zawadi kwa mawakala mbalimbali.

-

VUKA LENGO NA USHINDE: “Ili kuwa mshindi, kila wakala alitakiwa kuvuka lengo alilopewa, kulingana na historia ya miamala yake ya kila siku. Zaidi ya mawakala 4,000 walifanikiwa kuvuka malengo yao na kushinda zaidi ya shilingi milioni 400.” Angelica Pesha, Mkuu wa Kitengo cha Tigo Pesa.

TIGO PESA BOOST MTAJI!: “Nawashukuru Tigo kwa kuwa kupitia #TigoPesaWakalaPush wameweza kuniboost mtaji wangu” Piason Baruti, Wakala Tigo Pesa na Mshindi wa Milioni 1.5
- Advertisement -

Mkuu Kitengo cha Tigo Pesa-Tz akiwa na katika picha ya Pamoja na washindi

WASHINDI KANDA ZOTE! Tumepata washindi kutoka kanda zetu 4,Pwani, kanda ya Ziwa, kanda ya Kusini na kanda ya kaskazini. Na hawa ni washindi waliofanya vizuri zaidi katika kanda ya Pwani.

NIMEONGEZA MTAJI: “Kupitia promosheni hii ya Tigo mtaji wangu umeongezeka hivyo nimeweza kuwahudumia wateja wengi zaidi” Neema Swai-Wakala Tigo Pesa & Mshindi Milioni 1.2
#TigoPesaNiZaidiYaPesa

- Advertisement -
Publisher
Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Leave a Reply

Latest news

Must read

You might also likeRELATED
Recommended to you