Maandalizi ya Album ya @officialalikiba yanaendelea na unaambiwa anataka amalizane na Wasanii wa Nigeria kwanza
Kwenye hii clip kama anavyoonekana akiwa na @patorankingfire kwenye Mndinga wa maana haijaeleweka kuwa wapo kwenye ku shot Video au ni mizunguka ya kawaida.
- Advertisement -
- Advertisement -