Covid-19 kuisha mwaka 2022

-

Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) limetangaza kuwa corona itaisha mapema 2022 na kwamba hali mbaya imekwisha.

- Advertisement -

Akiongea na mtangazaji wa serikali ya Denmark DR, Mkurugenzi wa WHO barani Ulaya, Dk. Hans Kluge amesisitiza kuwa 2021 pia utakuwa mwaka wa Covid-19, lakini virusi vitaweza kudhibitiwa kuliko 2020.

Kluge amesema kuwa hali mbaya zaidi imesalia nyuma, Akisisitiza kwamba hakuna mtu anayeweza kujua maendeleo ya mlipuko wa Covid-19 na kwamba anaelezea utabiri wake mwenyewe, Kluge, al,ongeza kwa kusema,

“Nadhani janga litaisha mwanzoni mwa 2022.” Akitathmini mabadiliko ya Covid-19, Kluge alielezea kuwa mabadiliko ni ya kawaida na kwamba virusi vinajaribu kuzoea mtu aliyeambukizwa, lakini kuenea haraka kwa mabadiliko ya virusi kunawatia wasiwasi.

Kluge amesema kuwa wanafuatilia kwa karibu jinsi chanjo zilizotengenezwa dhidi ya Covid-19.

- Advertisement -
Publisher
Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Latest news

Must read

You might also likeRELATED
Recommended to you