Kiongozi wa upinzani wa Belarus akiri kushindwa kwa maandamano

-

Miezi sita baada ya uchaguzi uliozusha mzozo nchini Belarus kiongozi wa upinzani, Svetlana Tikhanovskaya amekiri kwamba harakati za kidemokrasia zimeshindwa kwa muda. 

- Advertisement -

Akinukuliwa na gazeti la Uswisi Le Temps, kiongozi huyo amesema baada ya kushindwa kwa maandamano kwa sasa hawana namna ya kupinga ukandamizaji wa serikali dhidi ya waandamanaji.

Ameongeza kusema serikali ina silaha na mamlaka kwa hivyo kwa sasa inaonekana kama wameshindwa mapambano. Beralus ilitumbukia katika machafuko tangu uchaguzi wa rais wa Agosti 9, ambao Rais Alexander Lukasheko alitangazwa mshindi kwa asilimia 80.1.

- Advertisement -
Publisher
Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Latest news

Must read

You might also likeRELATED
Recommended to you