Mwili wa balozi wa Italia waagwa DRC

-

Gavana wa Kivu Kaskazini Carly Nzanzu na mshauri mkuu wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wameongoza maafisa wengine kutoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa balozi wa Italia nchini DRC, Luca Attanasio na mlinzi wake.

- Advertisement -

Mwili wa marehemu unasafirishwa leo nchini Italia kutoka uwanja wa ndege wa Goma mashariki mwa DRC

- Advertisement -
Publisher
Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Latest news

Must read

You might also likeRELATED
Recommended to you