Wizkid na Fire boy watikisa tuzo za Headies nchini Nigeria (+ Video)

-

Usiku wa kuamkia leo Jumatatu February 22, 2021 nchini Nigeria kulikuwa na zoezi la utoaji wa Tuzo maarufu nchini humo za The Headies, Ambapo msanii mkubwa nchini humo @wizkidayo ameendelea kufunika kwa ushindi mkubwa wa tuzo mbili.

Wizkid aliibuka mshindi wa vipengele pendwa vya Artist of the Year na Viewers Choice Award.Wizkid sasa anakuwa msanii pekee kushinda tuzo nyingi za The Headies akiwa ameshinda jumla ya tuzo 12 tangu kuanzishwa kwa tuzo hizo.

Msanii mwingine alishinda tuzo nyingi usiku wa kuamkia Leo, Ni @fireboydml ambapo ameshinda tuzo 4.

Tuzo hizo ni za 14 kutolewa tangu zianzishwe rasmi, Tazama washindi wote wa tuzo hizo hapa chini;

- Advertisement -

Best R&B Single

Fireboy DML

Best Recording of The Year

Brymo

Best Music Video of The Year

1 Milli – Davido By Director K

Producer of The Year

Pheelz – Billionaire by Teni

Best Vocal Performance (Female)

Niniola – Addicted

Best Vocal Performance (Male)

Praiz – Under The Sky

Best Street Hop Artiste

Mayorkun – Geng

Rookie of The Year

Bad Boy Tims – MJ

Best Pop Single

Nobody – DJ Neptune feat Joe Boy and Mr Eazi

Best Collabo

Ladipoe and Simi – Know you

Best Alternative song

Moelogo – I wonder

Best Rap Single

Falz – Bop Daddy feat. MS Banks

Best R&B Album

Fireboy DML – Tears, laughter and goosebumps

Best Alternative Album

Roots – The Cavemen

Next Rated

Omah -Lay

Viewers Choice Award

Wizkid

Songwriter of the Year

Simi – Duduke

Best Pop Award

Fireboy – Apollo

Lyricist on The Roll

Ilbliss Goretti – Country

African Artiste Recognition Award

Master KG

Headies Revelation

Fireboy DML

Best Rap Album

God’s Engineering – AQ

Song of The Year

Nobody- DJ Neptune feat. Joeboy and Mr Eazi

Artiste of The Year

Wizkid

NB; Wizkid anavimba sana ujue, Yaani jamaa hakutaka hata kushika tuzo yake…

All Credit by @mgallahofficial & @el_mando_tz

- Advertisement -
Publisher
Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Latest news

Must read

You might also likeRELATED
Recommended to you