More
  - Advertisement -

  Akata kucha zake baada ya kufuga kwa miaka 30

  -

  - Ad Keep reading below -

  Ayanna Williams ni mwanamke anayeishi Jijini Texas nchini Marekani, anashikilia rekodi ya kuwa binadaam mwenye kucha ndefu zaidi duniani kwa sasaa na taarifa mpya zinasema amekata kucha hizo baada ya kuwa nazo kwa takribani kipindi cha miaka 30.

  Ayanna Williams amesema ameamua kukata kucha hizo kwa sababu amezichoka na anataka kuwa na maisha mapya na sasa ndio muda muafaka wa kukata kucha hizo japo anajua kabisa atazikumbuka sana.

  - Ad Keep reading below -

  “Nipo tayari kwa maisha mapya najua nitazikumbuka sana ila ni muda wa kwenda sasa na nilikuwa nimezichoka, niwe na kucha au nisiwe nazo nitabaki kuwa Malkia kwa sababu kucha hazinitengenezi mimi japo mimi ndio nazitengeneza, nimefurahi kuzikata na ninatarajia mwanzo mpya” ameeleza Ayanna Williams

  Kulingana na rekodi ya ‘Guinness World Record’ iinasema Ayanna Willims alivunja rekodi ya kuwa binaadam mwenye kucha ndefu zaidi mwaka 2017, ambapo kucha zake zina futi 19 na inamchukua saa 20 kuzisafisha pamoja na chupa mbili za dawa.

  - Ad Keep reading below -

  - read any article below now-
  Publisher
  Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

  Latest news

  Mfahamu Jonas Savimbi kiundani zaidi

   Februari 22, 2002 vyombo vingi vya habari duniani kote vilitawaliwa na habari kubwa ya kuuawa kwa mfalme wa pori na mwanaume aliyeisumbua serikali ya...

  Insecurity: Chinedu Eya apologises to Enugu Gov, names Nnamdi Kanu as prophet

  A former senatorial aspirant in Enugu State, Chief Chinedu Eya, has apologized to the state governor, Ifeanyi Ugwanyi and the leader of the Indigenous...

  Nuclear technology, ‘one of Iran’s power components’: Vaezi

  In his Twitter account on Saturday on the occasion of commemoration of National Day of Nuclear Technology, Mahmoud Vaezi wrote, “Nuclear technology is one...
  - Advertisement -

  You might also likeRELATED
  Recommended to you

  - Advertisement -