Staa wa Bongo Fleva na CEO wa leo ya Kings music Alikiba ambaye siku ya tarehe 6 alifanya listening party yake kwa ajili ya album yake ya THE ONLY ONE KING ambaye aliiachia terehe 7.

Hapa alikuwa nasimulia alivyokuwa anagombana na meneja wake pamoja na producer alyeitengeneza album hiyo Yogo.

Tagged in:

About the Author

Publisher

Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

View All Articles