Staa wa Bonho Fleva na CEO wa lebo ya @kingsmusicrecords @officialalikiba amealika mastaa kibao kutoka nchini Kenya kuhudhuria tukio la Listening party ya album yake ya THE ONLY ONE KING.

Hili ni tukio la pili @officialalikiba analifanya la kwanza lilifanyika Tanzania siku ya Jumatano na leo linafanyika Nairobi Kenya.

Miongoni mwa mastaa walioalikwa ni pamoja na mama mtoto wa @diamondplatnumz @tanashadonna pia aliyewahi kuwa mke wake @iambenpol @anerlisa @otilebrown @khaligraph_jones @realshinski na mastaa wemgine.

Tuambie ni ngoma ipi ya @officialalikiba iliyopo kwenye album yake ya THE ONLY ONE KING umeipenda ..?

Tagged in:

About the Author

Publisher

Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

View All Articles