Kama tunavyofahamu kila mwaka tuzo mbalimbali hutolewa barani Afrika na pia duniani kote kupitia mkampuni na majarida tofautofauti mfano, AFRIMMA, AFRIMA, SOUNDCITY, MTV, MTV BAS BET  na nyinginezo nyingi.

Siku ya jana zilitangazwa rasmi tuzo za AFRIMMA 2021 ambapo vimetolewa Kipengele vingi sana na miongoni mwa vipengele ambavyo watu walikuw awakivisubiria sana na vile ambavyo wataonekana au watawekwa wasanii kutoka Tanzania.

Miongoni mwa wasanii waliopo kwenye baadhi ya vipengele katika tuzo hizi kutoka Tanzania ni Alikiba, Diamond Platnumz, Nandy, Zuchu, Rosa Ree, pia maproducer na madirector kutpoka Tanzania mfano, Director Kenny, Producers S2kizzy na Kimambo.

Katika kipengele kikubwa mabcho kinasubiriwa sana ni kile Cha “Best Male East Africa”  msanii bora wa kiume kutoka Afrika amshariki ambapo wameshindanishwa  @diamondplatnumz, na @officialalikiba, wanaotoka Tanzania huku mataifa mengine ya Afrika amshariki wakiwemo . Eddy Kenzo Uganda, Otile Brown Kenya na Khalgraph Jones Kenya huku, The Ben kutoka Rwanda na Gildo Kasa wa Ethiopia.

Lakini pia Kwa Mara Nyingine Tena @officialzuchu Pamoja na #TheAfricanPrincess @officialnandy Wanakutana Katika kipengele kimoja Tuzo Za @afrimma 2021 ambapo Wamekutana Katika Kipengele Kimoja Cha “Msanii Bora Wa Kike Afrika Mashariki” (BEST FEMALE EAST AFRICA)

Katika Kipengele Cha “Msanii Bora Wa Mwaka Afrika MASHARIKI  Waliotajwa ni.

Tagged in:

About the Author

Publisher

Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

View All Articles