Hii ni baada ya show yao ya jumamosi ambapo @officialalikiba pia alipanda jukwaani licha ya kuwa ilikuwa show ya @fallyipupa01

Siku ya jana walikutanishwa na mkurugenzi wa Clouds media @josephkusaga na kuzungumza mambo mbalimbali yakiwemo ya kazi kati yao.

Endapo wakiingia studio unatamani ngoma yao itoke lini ..?

Tagged in:

About the Author

Publisher

Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

View All Articles