AfricaSwahili News

Aliyempiga kofi la uso Rais wa Ufaransa ahukumiwa jela miezi minne

 

Mahakama Imeamuru mwanamume aliyempiga kofi la uso Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron wiki hii kutumikia kifungo cha miezi minne gerezani,

Damien Tarel Mwenye umri wa miaka 28, alimshambulia Rais Macron wakati rais alipokuwa akipeana mikono na wananchi huko Tain-L’Hermitage, Ufaransa siku ya Jumanne

Publisher

Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Related Articles

Back to top button