Most recent articles by:

Publisher

Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Kikosi Cha KMC chawasili salama Mkoani Kagera

Kikosi Cha timu ya KMC FC, kimewasili salama Mkoani Kagera kikitokea Mkoani Shinyanga ambapo kitaweka kambi kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wao dhidi...

Kansela Merkel ahimiza kupanuliwa kwa Baraza la Usalama

 Kansela wa Ujerumani Angela Merkel ametoa wito wa mabadiliko katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, akisema umoja huo unapaswa kubadilika ili uweze...

Uturuki, Ugiriki zaridhia mazungumzo kutanzua mzozo baina yao.

 Uturuki na Ugiriki zimekubaliana kuanza mazungumzo yenye lengo la kumaliza mzozo wa utafutaji wa gezi katika eneo linalogombaniwa la mashariki mwa bahari ya Mediterania...

CCM Lindi wamvaa Membe, wasema amechemka kufanya kampeni

 Na Ahmad Mmow, Lindi.Kitendo cha mgombea wa urais anayepitia chama cha Alliance for Change and Transparency (ACT-Wazalendo), Bernard Membe kutoendelea kufanya mikutano ya kampeni...

Waziri Hasunga azindua utoaji mikopo ya zana za kilimo, Asema wakulima zaidi ya mil1.2 wa mazao ya Biashara wamesajiliwa

 Katika kuboresha sekta ya kilimo na kuongeza uzalishaji wa mazao, Serikali kupitia Wizara ya Kilimo imeendelea kuimarisha upatikanaji wa mbegu bora, mbolea na viatilifu...

Uingereza yapandisha ngazi ya kitisho cha COVID-19

 Uingereza imepandisha kiwango cha tahadhari juu ya kitisho cha maambukizi wa virusi vya corona kutoka ngazi ya tatu hadi ya nne, kutokana na kuongezeka...

NASA yatangaza mpango wa kuwapeleka wanaanga mwezini

 Shirika la anga za mbali la Marekani, NASA, limetangaza mpango wa kutuma tena wanaanga mwezini, kwa gharama ya takribani dola bilioni 28. Kati ya...

Guterres aitaka dunia kupinga vita baridi kati ya Marekani na China

 Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameitolea wito dunia kusitisha vita baridi kati ya Marekani na China, na kusimamisha mizozo ili iweze...

Must read