Most recent articles by:

Publisher

Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Yanga yakamata usukani wa VPL

 Timu ya soka ya Yanga sc imefanikiwa kupata ushindi wao wapili mfululizo katika ligi kuu ya soka Tanzania bara baada ya kuifunga timu ya...

Watu wawili wamefariki katika kimbunga nchini Ugiriki

 Kimbunga ambacho kimetokea nchini Ugiriki kimepelekea vifo vya wawili huku mtu mmoja akiripotiwa kupotea.Mtu huyo  hajulikani  alipo  huku  harakati  za kumtafuta  zinaendelea.Kitengo kinachohusika  na...

Jafo aahidi kutoa kipaumbele kwa waliosoma nje

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Selemani Jafo, amesema kuwa atahakikisha watanzania waliosoma nje wanapewa kipaumbele...

Ufaransa: Vikwazo wa Umoja wa Ulaya vinazingatiwa dhidi ya Uturuki

Ufaransa imeunga mkono wito wa Cyprus kwa Umoja wa Ulaya wa kuzingatia kuiwekea vikwazo vikali Uturuki, kama serikali ya taifa hilo haitasimamisha jitihada yake...

Syria: Marekani yapeleka vikosi zaidi baada ya kuzozana na Urusi

 Marekani imeongeza idadi ya wanajeshi wake Syria baada ya malumbano kati yake na Urusi kuzua hali ya taharuki nchini humo.Maafisa wa Marekani wanesema magari...

Wahitimu wa mafunzo ya JKT operesheni uchumi wa kati 2020 watakiwa kuepuka vitendo vya kihalifu

Na Ahmad Mmow, Nachingwea.Vijana waliohitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa(JKT) kwa mujibu wa sheria kupitia operesheni uchumi wa kati 2020 katika Kikosi cha...

Naibu mkuu wa jimbo auwawa nchini Afghanistan

Nchini Afghanistan, naibu mkuu wa jimbo la kusini la Paktiya, Ayub Gharwal ameuwawa leo na watu wenye kujihami na silaha ambao hawakuweza kufahamika. Taarifa kutoka...

Ndege ya mizigo imeanguka Somalia

Ndege ya mizigo imeanguka katika eneo la uwanja wa ndege wa kimataifa wa mjini Mogadishu, Somalia. Hata hivyo hakujaweza kupatikina uthibitisho wa haraka wa...

Must read