Most recent articles by:

Publisher

Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Rais wa Peru anusurika kuondolewa madarakani na bunge

Rais wa Peru Martin Vizcarra amenusurika kuondolewa madarakani kupitia mchakato wa kura iliyopigwa bungeni jana Ijumaa. Wapinzani wame walishindwa kupata wingi wa kura zilizohitajika kumuondowa...

China imelaani marufu ya Marekani kwa WeChat na Tik Tok

 China leo hii imelaani hatua ya Marekani dhidi ya programu za simu za mitandao ya kijamii za Kichina za TikTok na WeChat, ambayo inaanza...

Kimbaki afunika wakati wa kurudisha fomu ya NEC ya kuteuliwa kugombea Ubunge jimbo la Tarime Mjini

 Na Timothy Itembe Mara.MAMIA ya wanachama wa cha mapinduzi CCM pamoja na wananchi wa Tarime na viungo vyake wamejitokeza jana kumsindikiza Michael Kembaki katika...

Naibu mkuu wa jimbo auwawa nchini Afghanistan

Nchini Afghanistan, naibu mkuu wa jimbo la kusini la Paktiya, Ayub Gharwal ameuwawa leo na watu wenye kujihami na silaha ambao hawakuweza kufahamika. Taarifa kutoka...

Kembaki atembelea soko la Serengeti kuomba kura

Na Timothy Itembe Mara.Mgombea ubunge jimbo la Tarime mjini kupitia tiketi ya Chama cha mapinduzi (CCM),Michael Kembaki jana ameamua kusaka kura kwa wajasiliamali wa...

Waziri Majaliwa amtembelea mama Maria Nyerere

 Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, akimsalimia Mama Maria Nyerere, wakati alipomtembelea, nyumbani kwake Butiama, akiwa kwenye kampeni ya CCM mkoani Mara,Mjumbe wa Kamati...

Mgombea udiwani aahidi ujenzi wa nyumba za watumishi

   Na Hamisi Nasri, Masasi  Mgombea udiwani kata ya Lulindi jimbo la Lulindi Halmashauri ya wilaya ya Masasi, mkoanj Mtwara, kwa chama cha Demokrasia...

Kituo cha afya mkamba kupatiwa gari ya kubebea wagonjwa

 WANANCHI wa tarafa ya Mkamba wilayani Mkuranga mkoani Mkuranga Pwani wameahidiwa kupatiwa gari ya kubebea wagonjwa katika kituo cha afya mkamba kilicho boreshwa ikiwa...

Must read