- Ad Keep reading below -
@mbosso_ amethibitisha kuwa ujio wake ni kwa ajili ya kufanya video ya ngoma yake ambayo amemshirikisha @spice_diana #YES

Pia ameeleza furaha yake ya kufanya kazi na @mbosso_ kwani ni msanii mkubwa.
Pia ameeleza furaha yake ya kufanya kazi na @mbosso_ kwani ni msanii mkubwa.
@mbosso_ pia ameweka wazi muda wa kuizindua Album yake ya #definitionoflove ambaye aliahirisha kutokana na maombolezo ya hayati Rais Magufuli.
- Ad Keep reading below -
- read any article below now-