Baba levo: Harmonize amenishtaki eti nimesambaza video zake, nataka tufike mahakamani anilipe fidia bilioni 6 (+ Video)

Baba levo akiongea na wana habari amethibitisha kushtakiwa na harmonize na pia BASATA kumwambia aufute wimbo wake kwenye mitandao ya kijamii.

Baba levo ameweka wazi kuwa anataka kesi yake na Harmonize iende mahakamani ili alipwe fidia ya bilioni 6.

Written by Publisher

Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

3 Resign From Auschwitz Council After Politician Appointed | World News

Lampard favourite to take over as England manager leaves role