Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassoro Mbarouk (Mb) akisalimiana na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Dkt. Peter Mathuki leo katika Ofisi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, Jijini Arusha.

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassoro Mbarouk (Mb) akisaini kitabu cha wageni katika Ofisi ya Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Dkt. Peter Mathuki leo katika Ofisi za Jumuiya hiyo Jijini Arusha. 

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Dkt. Peter Mathuki akimueleza jambo Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassoro Mbarouk (Mb) leo katika Ofisi za Jumuiya hiyo Jijini Arusha. 

 

Tagged in:

About the Author

Dr john Masawe

Medical Laboratory Scientist (MLS) |Dancer|Software Developer|Multitalented|??|Entrepreneur|Researcher ?Founder, CEO, Admin and Publisher Of This Website

View All Articles