By Mwandishi Wetu

Dar es Salaam. Mkazi wa jijini Dar es Salaam akiwa amebeba maboksi kufuatia kubomolewa kwa vibanda vya wafanyabiashara ndogo ndogo maarufu wamachinga katika eneo la Vingunguti jijini Dar es Salaam.

Kazi ya kubomoa vibanda imefanyika usiku wa kuamkia leo.

bomoabomoapic

Mkazi wa jijini Dar es Salaam akiwa amebeba maboksi kufuatia kubomolewa kwa vibanda vya wafanyabiashara ndogo ndogo maarufu wamachinga katika eneo la Vingunguti jijini Dar es Salaam.
Na Mpigapicha Wetu

Soma zaidi:VIDEO: Wapigwa shoti ya umeme wakiwahamisha wamachinga

bomoapiccc

Wafanyabiashara ndogo ndogo maarufu wamachinga wakikusanya mabaki ya mbao baada ya vibanda vyao vya kufanyia kazi kubomolewa katika eneo la Vingunguti jijini Dar es Salaam, usiku wa kuamkia leo.
Na Mpigapicha Wetu

Soma zaidi:Makalla atoa elimu ya kuhamisha wamachinga kwenye maeneo rasmi

Advertisement

Jana Jumatano Septemba 22, 2021 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla ametumia ziara yake ya jimbo kwa jimbo mkoani humo kutoa elimu kwa wamachinga waofanya biashara zao katika maeneo yasiyo rasmi na kuhamia maeneo yaliyo rasmi.

Makalla amefanya hivyo ikiwa imepita siku tano tangu mkoa huo uzindue mwongozo wa kuwapanga wafanyabiashara hao.

This article Belongs to

News Source link

About the Author

Publisher

Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

View All Articles