More
  - Advertisement -

  Burna Boy kutumbuiza katika tuzo ya Grammy 2021 (+ Video)

  -

  - Ad Keep reading below -

  Msanii wa Nigeria Burna Boy, atatumbuiza katika Tuzo ya Grammy 2021 itakayoandaliwa Marchi 14.

  - Ad Keep reading below -

  Hii ni mara ya pili msanii huyo wa kuteuliwa kuwania Tuzo ya Grammy, mara ya kwanza aliteuliwa 2020 kuwania kitengo cha Wimbo Bora Duniani.

  Hapo awali ilijulikana kama kitengo cha kimataifa cha Albamu Bora ya Muziki duniani, lakini kitengo hicho kilipewa jina “kuifanya iwe ya kisasa zaidi na inayojumuisha wasanii zaidi.

  - Ad Keep reading below -

  Burna Boy amepangiwa kutumbuiza na wasanii wengine walioteuliwa kuwania tuzo hiyo kama vile Camilo na bendi ya Afro-Peruvian Jazz Orchestra miongoni mwa wengine.

  Burnaboy

  Wengine walioteuliwa kuwania kitengo hicho ni pamoja na kundi la Tuareg Tinariwen, kundi la muziki wa Kiafrika lenye makao yake mjini New York Antibalas, Mbrazili mwenye asili ya Marekani Bebel Gilberto,na Mchezaji wa sitar wa Uingereza na India Anoushka Shankar.

  Bofya hapa kutazama.

  https://www.instagram.com/tv/CMKUCkth7se/

  - Ad Keep reading below -

  - read any article below now-
  Publisher
  Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

  Latest news

  U.S. Is One of the 10 Worst Countries for Racial Equality | Best Countries

  The racial equality ranking for countries was developed using the racial equity score a country received and connecting it to the more than...

  U.S. Progress on Inequality Depends on Addressing Systemic Racism, Experts Say | Best Countries

  In the spring of 2020, as the novel coronavirus pandemic swept into the United States from Europe and Asia, a disturbing pattern emerged:...

  Global Economy Set for a Post-Pandemic Boom | Best Countries

  After suffering the worst downturn since World War II, the global economy is poised for a synchronized recovery the likes of which has...
  - Advertisement -

  You might also likeRELATED
  Recommended to you

  - Advertisement -