Home Afya

Afya

Pata Dondoo za Afya pamoja na kupata elimu kadha wa kadha kutoka Kwa doctor Masawe Elimu hizi zitakuwezesha wewe Kuweza Kujitambua Mwili wako vizuri na pia kuyajua magonjwa katika upana wake

UGONJWA WA KIDOLE TUMBO | APPENDICITIS

0
Mfumo wa chakula katika mwili wa binadamu huanzia katika kinywa na kumalizikia katika puru ( njia ya haja kubwa). Mfumo huu pamoja na kuhusisha...

TATIZO LA ULIMI KUSHIKWA-Tongue tie-Ankyloglossia

0
Ulimi kushikwa ni hali inayotambuliwa  kwa mtoto wakati wa kuzaliwa, hali hii hupelekea ulimi wa mtoto kuwa na uhuru kidogo wa miendo inayotakiwa kama...

UGUMBA / INFERTILITY – Doctor JOH

0
Ugumba ni hali inayotokea iwapo watu wawili, mwanaume na mwanamke wanapokutana kimwili (au kujamiana) bila kutumia njia yoyote ile ya upangaji uzazi kwa muda...

TATIZO LA MTOTO WA JICHO (CATARACT)

0
Mtoto wa jicho kwa lugha  nyingine cataract hutokana na kufanyika kwa ukungu katika lensi ya jicho, mtu aliye na ukungu huu kuona kwake ni...

TATIZO LA KIFAFA CHA MIMBA

0
Kifafa cha mimba (Eclampsia)Kifafa cha mimba (eclampsia) ni matokeo ya ugonjwa wa pre eclampsia.Pre eclampsiani pale ambapo mama mjamzito anakuwa na blood pressure ambayo...

Ugonjwa wa Pumu (Bronchial Asthma), Chanzo, Dalili na Tiba

0
Ugonjwa wa pumu ni ugonjwa ambao huathiri sehemu ya kupitisha hewa kwenda kwenye mapafu ya binadamu zinazojulikana kitaalamu kama bronchioles.

Kuvimba kwa Tezi Dume (Benign Prostate Hyperplasia BPH)

0
Tezi Dume (Prostate gland)Tezi dume ni sehemu mojawapo ya mfumo wa uzazi wa kiume. Inaundwa na sehemu...

Maumivu ya Korodani/pumbu, chanzo, dalili na ushauri nini cha kufanya

0
KWA kawaida mwanaume ana korodani mbili ambazo zimehifadhiwa katika mfuko maalum wenye tabaka tatu na ndani kuna kiasi kidogo cha maji kinachozunguka...

UGONJWA WA ZINAA UNAJULIKANA KAMA PANGUSA (CHANCROID)

0
pangusa ni nini?huu ni ugonjwa wa zinaa unaoambukizwa kwa njia ya ngono, huambukizwa na bakteria anayefahamika kitaalamu kama haimophilus ducrey.bacteria huweza kupita kwenye...

Ugonjwa wa Matende na Madhara yake (Elephantiasis)

0
Ugonjwa wa matende ni aina ya ugonjwa unaosababisha ngozi na  tishu zilizo chini ya ngozi ya  mwanadamu kuwa nene (thickening of skin...

Hiatus Hernia (Ngiri ya Kwenye Kifua)

0
Hiatus Hernia ni tundu linalotokea baada ya sehemu ya juu ya mfuko wa kuhifadhia chakula (tumbo) kuingia kwenye sehemu ya kifua kupitia...

Mkanda wa Jeshi (Herpes Zoster/Shingles)

0
Kwa takribani miongo mitatu sasa, tumeshuhudia ongezeko kubwa la mlipuko wa ugonjwa wa mkanda wa jeshi linaloendana na ongezeko la hususani ugonjwa...

LIFAHAMU TATIZO/UGONJWA WA KUPINDA KWA NYETI YA MWANAUME (PEYRONIE’S DISEASE)

0
TAZAMA VIDEO YA MAELEZO HAPO CHINI AU SOMA MAKALA YA MAANDISHI.Peyronie's Disease ni ugonjwa unaotokana na kutengenezwa...

Tatizo la mwanamke kukosa siku zake (hedhi)

0
IN SUMMARYMwanamke au msichana aliyekuwa akipata siku zake kama kawaida hapo awali na baadaye ghafla kakosa siku...

FAHAMU ZAIDI KUHUSU KUKABWA NA JINAMIZI (SLEEP PARALYSIS)

0
KUKABWA NA JINAMIZI NINI MAANAA YAKE? Kukabwa na Jinamizi katika ndoto kama tunavyoita ni kitendo ambacho kinawatokea watu wengi sana.  Watu wengi hufikiri kwamba anayewakaba ni Jini...

FAHAMU ZAIDI KUHUSU MINYOO – Doctor JOH

0
Minyoo ndani ya utumbo wetu huishi kwa chakula tunachokula na damu yetu. Husababisha tumbo kukata na kuhara, na hutunyonya lishe na nishati. Mtoto mwenye...

MWANAMKE KUWA NA UJAUZITO FEKI “PHANTOM OR FALSE PREGNANCY”

0
Asili ya binadamu katika kupata ujauzito ni matokeo ya muunganiko wa mbegu (sperms) kutoka kwa mwanamme na yai (ovum) kutoka kwa mwanamke...

TATIZO LA MWANAMKE KUKOSA HAMU YA KUFANYA MAPENZI

0
Tatizo la kukosa hamu ya kufanya mapenzi au kukosa nyege kwa lugha ya mitaani huwatokea zaidi wanawake kuliko wanaume lakini ni wanaume...

JE KULA NANASI AU KUTUMIA JUISI YAKE WAKATI WA UJAUZITO KUNA MADHARA?

0
Si kweli.Kuna uvumi kwamba unapokula nanasi au juice yake inasababisha mimba kutoka au kujifungua kabla ya muda wa kujifungua kufika. Ni uvumi tu. Ndani ya...

KUDHURIWA NA CHAKULA (FOOD POISONING) SABABU NA MATIBABU YAKE

0
Si mara chache tumewahi kushuhudia au kusikia mtu au kundi la watu likiugua ghafla baada ya kula chakula katika mkusanyiko au sherehe. Bila shaka...

Stay connected

20,949FansLike
2,394FollowersFollow
2,060FollowersFollow
0SubscribersSubscribe

Latest article

9 Job Opportunities at USAID Boresha Afya, District Data Officers

0
District Data Officer 9 Positions VACANCY ANNOUNCEMENTThe USAID Boresha Afya Southern Zone is...

LIVE: Rais Magufuli akiweka Jiwe la Msingi ujenzi wa daraja la Kigongo Busisi urefu...

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli aweka jiwe la msingi Ujenzi wa Daraja la Kigongo - Busisi lenye...

48 Job Opportunities at USAID Boresha Afya, Data Clerks

0
Data Clerks 48 Positions  VACANCY ANNOUNCEMENTThe USAID Boresha Afya Southern Zone is a...