Home Habari Na Matukio

Habari Na Matukio

Habari na Matukio Kutokea Dunia Nzima unazipata hapa zikiwa zimehaririwa kwa kiwango cha hali ya juu

Polisi wawasaka waliomuua Bibi wa miaka 70

0
Jeshi la Polisi Mkoani Morogoro linawasaka Watu wasiojulikana ambao wamemuua Bibi mwenye umri wa miaka 70, Albetina Pius Mkazi wa Mlimba Kilombero.Kamanda wa Polisi...

TV 32 INCH MPYA, ORIGINAL NA WARANTY YA KUTOSHA KWA 295,000 TU (umeme wa...

0
Katika kuudisha shukrani kwa wateja wetu tumeamua kutoa ofa kwa wateja wetu kwenye baadhi ya Tv zetu. Kumbuka ofa hii sio kwa Tv zote...

Rais Magufuli ataka kuanza upanuzi wa majengo ya Hospitali ya Wilaya ya Chato

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amewataka viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato Mkoani Geita kuanza mara...

Simon Msuva kuendelea kukipiga Difaa El Jadida

0
Kiungo Mshambuliaji wa klabu ya Difaa El Jadida na timu ya taifa ya Tanzania, Simon Msuva amesaini mkataba mpya wa miaka miwili ndani ya...

RUWASA yatakiwa kupunguza mchakato wa manunuzi

0
RUWASA yatakiwa kupunguza michakato na utaratibu mrefu wa manunuzi, kinachotakiwa ni miradi kukamilika kwa wakati na wananchi wapate maji.Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri...

Surua yawaua watu 140,000 kwa mwaka mmoja

0
Watu zaidi ya 140,000 walifariki dunia kote duniani kutokana na ugonjwa wa surua mwaka jana, wengi wao wakiwa ni watoto wenye umri wa chini...

Waziri Ummy amtembelea mtoto Anna Zambi

0
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe Ummy Mwalimu leo amtembelea mtoto Anna Zambi ambae alipoteza wazazi wake wote wawili...

TANZIA: Mdogo wa Steven Kanumba, Seth Bosco afariki dunia

0
Msanii wa Filamu nchini, Seth Bosco amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kuzidiwa akiwa nyumbani kwao Kimara, Dar es Salaam.Dada wa Marehemu,...

VIDEO: Waziri Mkuchika afunguka alivyowabana viongozi waliokuwa wakiwatumbua watumishi ovyo

0
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kepteni Msitaafu, George Mkuchika, amesema jambo la viongozi wa kiserikali...

JAPAN yaahidi kuendelea kusaidia maendeleo ya Tanzania

0
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, ameiomba Serikali ya Japan kupitia Shirika lake la Maendeleo ya Kimataifa la Japan (JICA) kusaidia upatikanaji...

VIDEO: Aandika barua kwa Rais Magufuli kumchongea RC

0
Mkuu wa mkoa wa Manyara Ndugu Alexander Mnyeti amesema hatishwi na maneno ya watu wanaomchongea kwa rais kwa kuwa katika kipindi chake cha miaka...

VIDEO: Aggrey Mwanri – Mtumishi nitakayemkamata hapa ataenda kusimulia

0
Mkuu wa mkoa wa Tabora Agrey Mwanri akizungumza na waandishi wa Habari Ofisini  amewataka wananchi mkoani humo kujiunga na mfuko wa  Afya ya jamii...

Balozi wa Saud Arabia amuunga mkono RC Makonda kampeni ya matibabu ya moyo kwa...

0
Kampeni ya Matibabu ya Upasuaji wa Moyo Kwa watoto kutoka familia Duni iliyoanzishwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda...

Viongozi wa serikali za mitaa wilayani Nachingwea watakiwa kuhudumia wananchi bila ubaguzi

0
Na Ahmad Mmow, Nachingwea.Viongozi wa vijiji na vitongoji waliochaguliwa katika uchaguzi wa serikali za mitaa wilayani Nachingwea, wametakiwa kuhudumia wananchi wote bila kujali itikadi...

Watu wanne wapoteza maisha Florida nchini Marekani

0
Watu wanne wameuawa katika wizi wa vito huko Florida, nchini Marekani.Kulingana na habari kutoka wakala wa Shirikisho la Upelelezi la Serikali (FBI) George Piro...

Waratibu Elimu wazembe kuchukuliwa hatua kali mkoani Songwe

0
Waratibu Elimu kata na Wasimamizi wa Sekta ya Elimu Mkoa wa Songwe waliobainishwa katika ripoti ya uchunguzi wa hali ya sekta ya Elimu kuwa...

RC Mgwhira atoa agizo kwa Afisa Elimu mkoa Kilimanjaro

0
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Dk. Anna Elisha Mgwhira amemuagiza afisa elimu mkoa kushirikiana na wadau wa elimu katika kuhakikisha wanainua kiwango cha elimu...

Njombe: Hakuna mwanafunzi atakayeachwa kuingia kidato cha kwanza

0
Na Amiri kilagalila-NjombeMkoa wa Njombe umetangaza kutoachwa mwanafunzi yeyote wa darasa la saba aliyefaulu kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2020 kutokana na uwepo...

Rais Magufuli awajulia hali wagonjwa waliolazwa hospitali akiwemo mzee aliyemshawishi kuingia kwenye Siasa

0
HABARI HIZI ZOTE UTAZIPATA KATIKA APP YETU YA MUUNGWANA BLOG  BOFYA HAPA KU-DOWNLOAD SASA .. HABARI HIZI ZOTE UTAZIPATA KATIKA APP YETU YA MUUNGWANA BLOG DOWNLOAD...

Stay connected

20,949FansLike
2,394FollowersFollow
2,060FollowersFollow
0SubscribersSubscribe

Latest article

AUDIO | Gabby de Talent – NIPOKEE | Download

0
Home Audio AUDIO | Gabby de Talent – NIPOKEE |...

JINSI YA KUEPUKA MAUDHI YA DAWA

0
Matibabu ya magonjwa mbalimbali yanahusisha matumizi ya dawa kama nyenzo muhimu katika kufikia lengo la tiba stahiki.Katika kutumia dawa, kuna nyakati ambazo kunatokea maudhi...

AUDIO | Stamina Ft Barnaba – Safina | Download

0
DOWNLOADListen to Stamina Ft Barnaba – Safina byDJ Mwanga on hearthis.at   The post AUDIO | Stamina Ft Barnaba – Safina | Download appeared first on...