Home Habari Na Matukio

Habari Na Matukio

Habari na Matukio Kutokea Dunia Nzima unazipata hapa zikiwa zimehaririwa kwa kiwango cha hali ya juu

Kilimo cha Bamia – MUUNGWANA BLOG

 BAMIAAsili ya mboga hii ni Afrika ya Kati na ya Mashariki, lakini kwa sasa zao hili limekwisha enea katika sehemu nyingi za kitropiki,...

Tatizo la kukosa choo – MUUNGWANA BLOG

Tatizo la kukosa choo (constipation) ni tatizo ambalo limekuwa likiwakumba watu wengi  sana katika   dunia, watu wamekuwa wakiteseka bila kujua nini chanzo cha...

Msanii Beka Flavour amtungia wimbo Rais Magufuli, unaitwa Hapa Kazi Tu

0
Msanii wa Bongo Fleva, Beka Flavour ametunga wimbo maalum kwa ajili ya Rais John Magufuli na Chama chake cha CCM kwa ajili ya mambo...

UPDATES: Yaliyojiri baada ya Injinia msaidizi MV Mapinduzi kujinyonga

Na Thabit Hamidu, ZanzibarInjinia Msaidizi wa Umeme katika Meli ya Mv. Mapinduzi II Haji Abdallah Khatibu(55) leo majira ya Saa 4:00 Asubuhi amekutwa...

Ratiba ya treni ya Abiria kati ya Dar es Salaam hadi Moshi hii hapa

0
Ratiba ya treni ya abiria ya Deluxe itakayokuwa ikifanya safari zake kati ya Dar es Salaam - Moshi - Dar es Salaam. Safari zitakuwa...

Ratiba ya Michuano ya CECAFA kwa wanawake leo

0
Ratiba ya Michuano ya CECAFA kwa wanawake Kundi B.

Jaguar atua nchini – MUUNGWANA BLOG

Mbunge wa Starehe nchini Kenya, Charles Njagua maarufu Jaguar yupo nchini kuanzia jana. Huku akieleza kuwa atakuwa Tanznaia hadi Jumapili Julai 21, 2019.Akizungumza...

TAMWA yaishauri Serikali

Na Thabit Hamidu,Zanzibar. Wanaharakati wa kutetea haki za wanawake na watoto Nchini wameiomba Serikali kuboresha miundombinu ya utendaji kazi wa Jeshi la Polisi na Mamalaka...

Waziri Jenista aipongeza TCC – MUUNGWANA BLOG

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge, Kazi, Vijana na Wenye Ulemavu), Jenista Mhagama  ameipongeza Kampuni ya Sigara Tanzania TCC, kwa...

UVCCM yawakatisha tamaa wapinzani – MUUNGWANA BLOG

Na Ahmad Mmow, Nachingwea. Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi( UVCCM), wilaya ya Nachingwea,mkoa wa Lindi umesema  utashinda kwa kishindo kikubwa na kirahisi...

Giza latanda nchini Venezuela – MUUNGWANA BLOG

Venezuela inakabiliwa na ukosefu wa umeme.Kulingana na ripoti za vyombo vya habari Venezuela, hii ni mara ya nne kwa nchi hiyo kupatwa na...

Mafuriko yasababisha maafa makubwa – MUUNGWANA BLOG

Watu 67 wamepoteza maisha kutokana na mafuriko baada ya mvua kali kunyesha mfululizo mashariki na kaskazini mashariki mwa nchi ya India.Kwa mujibu wa...

Zari apata dili jipya

Mwanamama Zari The Boss Lady huwa hataki kupitwa na kila fursa inayokatisha mbele yake, hasa linapokuja suala la kuingiza mkwanja. Mwanamama huyo amefanikiwa kupata dili...

Kizimbani kwa kuiba hospitali – MUUNGWANA BLOG

Watu wanne wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni, Dar es Salaam kwa makosa manne ikiwemo wizi.Waliofikishwa mahakamani ni Erick Marcus (20)...

Sababu nne za ugomvi katika mahusiano ya kimapenzi

0
Kuna baadhi ya makabila hapa Tanzani wanaamini ugomvi katika mahusiano ni sehemu ya upendo, sijui kama ni kweli juu ya imani hii. Japo zipo...

Stay connected

20,939FansLike
2,394FollowersFollow
2,199FollowersFollow
0SubscribersSubscribe

Latest article

Mambo ya kufanya hasa pale unapokutana na ugumu wa kushindwa katika maisha yako

0
Kushindwa na kufanya  makosa ni sehemu muhimu ya maisha yetu kama vile ilivyo hewa,chakula,na maji. Sote tunafahamu kwamba;Tunahitaji hewa safi, chakula bora, na maji...

Mfahamu mchezaji wa soka Santiago Cazorla Gonzalez

0
Desemba 13, 1984 alizaliwa mchezaji wa soka wa kimataifa wa Hispania na klabu ya Villareal Santi Cazorla. Jina lake halisi ni Santiago Cazorla Gonzalez.Cazorla...

AUDIO | Billnass – Mafioso | Download

0
DOWNLOAD Listen to Billnass – Mafioso byDJ Mwanga on hearthis.at    The post AUDIO | Billnass – Mafioso | Download appeared first on DJ Mwanga.