Home Habari Na Matukio

Habari Na Matukio

Habari na Matukio Kutokea Dunia Nzima unazipata hapa zikiwa zimehaririwa kwa kiwango cha hali ya juu

Njia zitakazokusaidia kuweza kufanikiwa katika maisha

0
Ili kuweza kupata unafauu katika maisha yako basi yakupasa kuelewa kwamba mabadiliko  makubwa katika maisha yako yanatoakana na vile ambavyo utazijua mbinu zitakazokusaidia kuweza...

VIDEO: Meya aliyeibwaga Chadema na kutimkia CCM apokelewa kwa kishindo

0
Aliyekua Meya wa Jiji la Arusha Kalist Lazaro na Mwenyekiti wa halmashauri ya Arusha Dc Noah Lembris Wote Kupitia CHADEMA wamejiunga na CCM baada...

Wahamiaji 67 wapoteza maisha Mediteranaen

0
Wahamiaji 67 wamepoteza maisha mara baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kuzama katika bahariya Mediterenean nchini Libya.Shirika la Habari la Italia, ANSA, limeripoti kwamba janga...

Sababu 7 za baadhi ya wanaume kukimbiwa na wanawake

0
Imezoeleka katika jamii kwamba wanaume hukimbiwa na wanawake kwa kukosa kipato au alichonacho ni kidogo, au muonekano na maumbile ya mwanaume bila kuzingatia kwamba...

VIDEO: Tunatoa pesa kwenda mbele/ GSM Kutoa milioni 50 mechi na Simba – Antonio...

0
Afisa muhamasishaji wa klabu ya soka ya Yanga, Antonio Nugaz kwa niaba ya GSM ametoa zawadi ya shilingi milioni 10 kwa wachezaji wao baada...

Madiwani Manispaa ya Iringa kuweka mkakati wa ujenzi wa vyumba vya madarasa

0
Baraza la madiwani la halmashauri ya Manispaa ya Iringa limeanza kujipanga kutotua changamoto ya ukosefu wa vyumba vya madarasa kwa wanafunzi waliofaulu mtihani wa...

VIDEO: CCM – kesho hatuna kazi ya kupiga kura

0
Katibu wa siasa na uenezi CCM  mkoa wa Njombe Erasto Ngole amesema chama hicho mkoa wa Njombe kimepita bila kupingwa vijiji,mitaa na kata zote...

Umoja wa Afrika waitolea wito Uingereza kuheshimu maazimio ya Umoja wa Mataifa

0
Umoja wa Afrika umeitaka Uingereza kuacha kuvitawala visiwa vya Chagos ambavyo ni sehemu ya Mauritius na kuodoka katika eneo hilo.Rais wa baraza la Umoja...

Rais Magufuli akutana na kufanya mazungumzo na Mjumbe maalum kutoka kwa Rais wa Afrika...

0
HABARI HIZI ZOTE UTAZIPATA KATIKA APP YETU YA MUUNGWANA BLOG  BOFYA HAPA KU-DOWNLOAD SASA .. HABARI HIZI ZOTE UTAZIPATA KATIKA APP YETU YA MUUNGWANA BLOG DOWNLOAD...

MEWATA watakiwa kuweka msisitizo kwenye masuala ya chanjo

0
Chama cha Madaktari Wanawake Tanzania (MEWATA) kimetakiwa kuweka msisitizo kwenye masuala ya utoaji elimu kuhusiana na chanjo nchini ili  idadi ya watoto wanaopatiwa chanjo...

VIDEO: Tazama magoli yote ya Yanga vs JKT Tanzania (3-2)

0
Klabu ya soka ya Yanga, imefanikiwa kuibuka na ushindi wa magoli 3-2 dhidi ya JKT Tanzania kwenye mchezo wa ligi kuu uliochezwa kwenye uwanja...

Pinda awataka Watumishi Rukwa kupambana na Udumavu

0
Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania Mizengo Pinda amewasisitiza watumishi mkoani Rukwa kuhakikisha kila mmoja katika nafasi yake anafanya kazi kwa uadilifu na kueleza kuwa...

Faida ya binzari kiafya – MUUNGWANA BLOG

0
Binzari ni kiungo ambacho hutumiwa sana jikoni kwa ajili ya kusaidia kubadili rangi ya vyakula, lakini si wengi wanaofahamu kwamba kiungo hiki kinamanufaa kiafya...

Waziri Hasunga afanya ziara ya kushtukiza kukagua bei na upatikanaji wa mbolea mkoani Songwe

0
Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-SongweWaziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) leo tarehe 21 Novemba 2019 amefanya ziara ya kushitukiza ili kujionea hali...

Mfahamu mwanamziki Davido kiundani zaidi

0
Novemba 21, 1992 alizaliwa mwanamuziki wa Nigeria, prodyuza na mtunzi wa nyimbo maarufu Davido.Jina lake halisi ni David Adedeji Adeleke. Alizaliwa Atlanta katika jimbo...

Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu apinga mashtaka dhidi yake

0
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu ameyakanusha madai ya ufisadi dhidi yake na amesema ataendelea na majukumu yake kama kiongozi licha ya kufunguliwa mashtaka...

Waziri Kabudi akutana na Balozi wa Canada jijini Dodoma

0
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Canada nchini Mhe....

Rais Magufuli kufanya ziara ya siku mbili mjini Kahama

0
Na Paschal Malulu-Kahama.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kesho Novemba 26, 2019 anatarajiwa kuwa na ziara ya kikazi...

Ufugaji wa kuku unavyoweza kukutengenezea kipato cha kudumu

0
Kuna mambo kadhaa ya kuzingatia kabla ya kuchagua aina bora ya kuku wa kufuga ili ikuletee faida uliyodhamiria. Ufugaji unaweza kukutengenezea kipato cha ziada...

CCM Njombe watangaza kupita bila kupingwa

0
Na Amiri kilagalilil-NjombeChama cha mapinduzi CCM mkoa wa Njombe kimewatangazia wananchi kutokuwa na uchaguzi wa viongozi serikali za mitaa katika mkoa huo unaotarajia kufanyika...

Stay connected

20,939FansLike
2,394FollowersFollow
2,199FollowersFollow
0SubscribersSubscribe

Latest article

Mambo ya kufanya hasa pale unapokutana na ugumu wa kushindwa katika maisha yako

0
Kushindwa na kufanya  makosa ni sehemu muhimu ya maisha yetu kama vile ilivyo hewa,chakula,na maji. Sote tunafahamu kwamba;Tunahitaji hewa safi, chakula bora, na maji...

Mfahamu mchezaji wa soka Santiago Cazorla Gonzalez

0
Desemba 13, 1984 alizaliwa mchezaji wa soka wa kimataifa wa Hispania na klabu ya Villareal Santi Cazorla. Jina lake halisi ni Santiago Cazorla Gonzalez.Cazorla...

AUDIO | Billnass – Mafioso | Download

0
DOWNLOAD Listen to Billnass – Mafioso byDJ Mwanga on hearthis.at    The post AUDIO | Billnass – Mafioso | Download appeared first on DJ Mwanga.