Home Habari Na Matukio

Habari Na Matukio

Habari na Matukio Kutokea Dunia Nzima unazipata hapa zikiwa zimehaririwa kwa kiwango cha hali ya juu

Serikali yatoa neno kuhusu kuwawezesha Mawakala wa Mbegu za Kilimo

0
Upatikanaji wa mbegu bora zikiwemo za mahindi ngano, maharage, mpunga, soya, alizeti, mtama, ufuta, viazi mviringo na mbegu za mazao ya bustani kwa msimu...

Mchezo wa Riadha watia fora Mashindano ya FEASSSA jijini Arusha

0
Na Mathew Kwembe, ArushaMashindano ya michezo ya shule za Sekondari kwa nchi za Afrika Mashariki (FEASSSA) imeingia katika siku ya nane leo ambapo mbali...

Watoa tamko la kumpongeza Rais Magufuli

0
Baraza la Jumuiya ya Wazazi CCM wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga limetoa tamko la kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti...

Ufugaji bora wa bata mzinga

0
Bata mzinga wanahitaji matunzo ya hali ya juu. Kwa kawaida bata mzinga hula chakula kingi kuliko kuku. Bei yake ni ghali zaidi. Kabla ya...

TANZIA: Mdogo wa Steven Kanumba, Seth Bosco afariki dunia

0
Msanii wa Filamu nchini, Seth Bosco amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kuzidiwa akiwa nyumbani kwao Kimara, Dar es Salaam.Dada wa Marehemu,...

Ndege walioishi miaka Milioni 96 iliyopita wagundulika

0
Wanasayansi wa Australia wamegundua aina mpya kabisa ya ndege ya Pterosaur ambayo wanasema waliishi takriban milioni 96 iliyopita na walikuwa na mabawa ya mita...

VIDEO: Magufuli aagiza DC, RPC kumlipa sh.15 milioni mjane aliyeibiwa ng'ombe 25

0
Rais John Magufuli ameagiza DC wa Nkasi na askari polisi wilayani humo kumlipa Shilingi 15 milioni nyingine kama fidia mwanamke aliyeibiwa ng’ombe wake 25,...

Viwanja vya makazi na Biashara: Bunju na Mapinga (Baobab sec)

0
Kwa Mapinga, vipo viwanja ukubwa sqm 300, ukubwa sqm 400, ukubwa sqm 600, ukubwa sqm 800, ukubwa sqm 1600, ukubwa sqm 2000, ukubwa sqm...

Indonesia: Wananchi wenye hasira kali wachoma nyumba moto kisa mwalimu

0
Idadi ya vifo kutokana na maandamano ya vurugu katika jimbo la mashariki mwa Indonesia la Papua imeongezeka hadi 24, huku wengine 72 wakijeruhiwa.Mamia ya...

Mwenyekiti wa UVCCM Arusha aongoza vijana kuchangia damu

0
Na Ferdinand Shayo,Arusha.Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Arusha Omari Bahati ameongoza vijana wa Wilaya ya Meru kuchangia damu katika hospitali ya Patandi iliyoko halmashauri...

Serikali yatoa siku 30 kwa Wilaya ya Bunda

0
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Dkt. Dorothy Gwajima, ametoa siku thelathini kuanzia Oktoba 05, 2019 kwa...

Wakamata dawa za kulevya za Bilioni 380

0
Nyambizi katika bahari ya Pacific imekutwa ikiwa na zaidi ya dawa za kulevya pauni 12,000 zenye thamani ya dola za Marekani milioni 165 sawa...

Mahakama kupunguza kutumia Wazee washauri kwenye kesi

0
Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Dkt. Eliezer Feleshi amesema Mahakama inakusudia kupunguza kuwatumia wazee washauri wa Mahakama katika kuamua mashauri Mahakamani na...

Taarifa kuhusu mwenendo wa magonjwa ya milipuko nchini

0
Wizara Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imekuwa ikitoa taarifa kwa wananchi mara kwa mara kuhusiana na mwenendo wa magonjwa ikiwemo magonjwa...

Serikali kuendelea kusajili vyama na vilabu vya michezo kwa wanawake

0
Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo, Juliana Shonza amesema kuwa Serikali inaendelea kusajili Vyama na Vilabu vya michezo ikiwemo vya soka la wanawake ili...

Ajali mbaya ya treni yaua watu takriban 16 nchini Bangladesh

0
Watu takriban 16 wameripotiwa kupoteza maisha baada  ya treni mbili kugongana mashariki mwa Bangladesh.Kulingana na ripoti ya vyombo vya habari Bangladesh, ajali hiyo imetokea...

VIDEO: Msanii H BABA afunguka afunguka kuhusiana na mechi ya yanga vs pyramid

0
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI..USISAHAU KU SUBSCRIBE

Taarifa muhimu kutoka ofisi ya Makamu wa Rais

0
Taarifa Kwa Umma Kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais Kuhusu Mafanikio na Changamoto za Utekelezaji wa Katazo la Matumizi ya Mifuko ya Plastiki.

Kenya: Askari apewa likizo ya lazima kwa kupinga eneo la kazi alilopangiwa

0
Askari mmoja nchini Kenya, Jane Asimizi amenga waziwazi kupangiwa maeneo ya kazi ambayo anasema kwake ni ngumu kutengeneza fedhaKiongozi wake Eliud Kinuthia, amesema kuwa...

Dereva wa RC Mara aanguka kwa Presha

Dereva wa Mkuu wa Mkoa wa Mara amelazwa hospitali baada ya kuanguka kwa presha alipofika eneo ambapo mtoto wake (26) alipopatia ajali wakati akiendesha...

Stay connected

20,939FansLike
2,394FollowersFollow
2,199FollowersFollow
0SubscribersSubscribe

Latest article

Mambo ya kufanya hasa pale unapokutana na ugumu wa kushindwa katika maisha yako

0
Kushindwa na kufanya  makosa ni sehemu muhimu ya maisha yetu kama vile ilivyo hewa,chakula,na maji. Sote tunafahamu kwamba;Tunahitaji hewa safi, chakula bora, na maji...

Mfahamu mchezaji wa soka Santiago Cazorla Gonzalez

0
Desemba 13, 1984 alizaliwa mchezaji wa soka wa kimataifa wa Hispania na klabu ya Villareal Santi Cazorla. Jina lake halisi ni Santiago Cazorla Gonzalez.Cazorla...

AUDIO | Billnass – Mafioso | Download

0
DOWNLOAD Listen to Billnass – Mafioso byDJ Mwanga on hearthis.at    The post AUDIO | Billnass – Mafioso | Download appeared first on DJ Mwanga.