Waziri Ummy aitaka Bodi mpya ya wadhamini kusimamia vyema Taasisi ya MOI

0
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu Leo amezindua bodi mpya ya wadhamini  ya taasisi ya mifupa (MOI )...

Waziri wa Elimu ashiriki mkutano Ethiopia

0
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako Disemba 13, 2019 ameshiriki Mkutano wa tatu wa Kamati ya Kitaalamu ya Elimu, Sayansi na...

Waziri wa Kilimo atoa suluhisho migogoro usambazaji wa maji mashambani ya korosho

0
 Na Ahmad Mmow-LindiKatika kuhakikisha migogoro na malalamiko vinapungua kwenye skimu za umwagiliaji na ubora wa korosho za wakulima, Waziri wa kilimo ameagiza skimu ziweke...

Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM watembelea ujenzi wa Barabara ya Njia Nne

0
Mradi mkubwa wa kimkakati upanuzi wa njia nane wa barabara ya Morogoro kutokea Kimara hadi Kibaha yenye urefu wa kilometa 19.2 licha ya  kufikia ...

Sheria ya fidia ya uharibifu wa Wanyamapori kupitiwa upya

0
Na. Ferdinand Shayo, ArushaSerikali ya Tanzania ipo katika hatua ya kupitia upya sheria ya fidia ya uharibifu unaofanywa na wanyamapori  ili kuendana na wakati...

Mbio za Marathon katika Olimpiki ya walemavu kusalia Tokyo

0
Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki ya Walemavu IPC imesema mbio za Marathon katika Olimpiki ya walemavu ya Tokyo mwakani hazitahamishiwa mji mwingine.Olimpiki ya walemavu...

VIDEO: Mabilioni ya fedha yamiminika , zao la korosho kupanda chati

0
Zao la korosho katika msimu wa kilimo wa mwaka 2019/2020 limeingiza zaidi ya Bilioni 406.3 kupitia minada sita ambayo imekwishafanyika kwa nyakati tofauti.Waziri wa...

Makala: Tamu chungu za Patrick Aussems ndani ya Simba SC (+Video)

0
Kuna msemo maarufu unaosema Coaches are hired to be fired,kwa maana makocha huajiriwa kwa ajili ya kufukuzwa.Hakika huo msemo ndio umemkumba aliyekuwa kocha mkuu...

CSSC yaomba Serikali kuondoa leseni ya biashara kwenye Vyuo na Shule za Taasisi za...

0
Na Ezekiel Mtonyole, DodomaTume ya Kikristo ya Huduma za Jamii(CSSC), imeiomba serikali  kuondoa leseni ya biashara kwenye vyuo na shule zinazomilikiwa na taasisi za...

Waziri Kamwelwe aongoza Mkutano wa 13 wa Baraza la Wafanyakazi wa TANROAD

0
Mkutano wa 13 wa baraza la wafanyakazi wa TANROAD Taifa kwa mara ya kwanza umefanyika mkoani kagera ukiongozwa na wazili wa uchukuzi na ujenzi   Isack ...

Waziri Mwakyembe akipongeza Chuo cha Maendeo ya Michezo

0
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe  amekipongeza  Chuo cha  Maendeleo Michezo cha Malya Kilichopo Wilayani Kwimba Mkoani Mwanza kwa kuendelea...

Rwanda kuandaa Nusu Marathon ya Kigali

0
Shirikisho la Riadha la Rwanda likishirikiana na Mji wa Kigali, wanaandaa Nusu Marathon ya Kigali, inayopangwa kufanyika Jumapili, Disemba15.Haya yatakuwa ni mashindasno ya kwanza...

Halima Mdee ashinda tena Uenyekiti

0
Mbunge wa Jimbo la Kawe, Halima Mdee amechaguliwa tena kuwa mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha).Katika uchaguzi huo ulioanza jana Alhamisi Disemba...

Usalama SC uso kwa uso na Wajukuu wa Chief Mirambo

0
Na John Walter-BabatiKikosi cha Usalama Sports Club kutoka Mkoa wa Manyara kinashuka dimbani kesho saa kumi kamili jioni itaendelea na mchezo wa ligi daraja...

Kocha mpya aahidi makubwa kwa Simba SC

0
Kocha mpya wa Simba SC, Mbelgiji Sven Ludwig Vandenbroeck ameahidi kuipa klabu hiyo mafanikio makubwa kisoka kwa kushinda nyumbani na kufanya vyema kwenye michuano...

Daktari aeleza athari za kutokunywa Maji

0
Watu wanaokunywa maji kidogo kulinganisha na kiwango cha chumvi kinachotengenezwa mwilini, wako hatarini kupata mawe kwenye figo na mfumo wa mkojo kwa ujumla, imeelezwa.Daktari...

Mwanamke amuua mpenzi wake baada ya kumfuma akimeza ARVs

0
Mwanamke mmoja katika Wilaya ya Hoima, Uganda anashikiliwa na Polisi akidaiwa kumuua mpenzi wake Emmanuel Tumusiime kwa kumpiga na shoka kichwani baada ya kumfuma...

Ndege ya Tanzania iliyokamatwa Canada yaanza safari ya kuja nchini

0
Ndege aina ya Bombardier Q400 ya Tanzania iliyokamatwa nchini Canada inatarajiwa kuwasili nchini Disemba 14 mwa huu na itapokelewa jijini Mwanza.Hii ni baada ya...

RC Kagera awapa kazi Wakurugenzi, Wakuu wa Wilaya

0
Na. Clavery Christian, Bukoba KageraMkuu wa mkoa Kagera, Brig. Jen. Marco E Gaguti amewaagiza wakurugenzi na wakuu wa wilaya mkoani humo kuhakikisha wanatenga fedha...

Mrundikano wa wanafunzi wa Awali madarasani watajwa kuwa kikwazo kupata elimu bora

0
Na. Ezekiel Mtonyole, DodomaWadau wa elimu ya awali nchini wamesema mrudindikano wa wanafunzi wa darasa la awali  umekuwa kikwazo  kwa wanafunzi wa darasa hilo...

Stay connected

20,939FansLike
2,394FollowersFollow
2,199FollowersFollow
0SubscribersSubscribe

Latest article

Mambo ya kufanya hasa pale unapokutana na ugumu wa kushindwa katika maisha yako

0
Kushindwa na kufanya  makosa ni sehemu muhimu ya maisha yetu kama vile ilivyo hewa,chakula,na maji. Sote tunafahamu kwamba;Tunahitaji hewa safi, chakula bora, na maji...

Mfahamu mchezaji wa soka Santiago Cazorla Gonzalez

0
Desemba 13, 1984 alizaliwa mchezaji wa soka wa kimataifa wa Hispania na klabu ya Villareal Santi Cazorla. Jina lake halisi ni Santiago Cazorla Gonzalez.Cazorla...

AUDIO | Billnass – Mafioso | Download

0
DOWNLOADListen to Billnass – Mafioso byDJ Mwanga on hearthis.at   The post AUDIO | Billnass – Mafioso | Download appeared first on DJ Mwanga.