Taasisi ya Teknolojia ya Dar es Salaam kushirikiana na Huawei

0
Taasisi ya Teknolojia ya Dar es salaam- DIT imeingia makubaliano na kampuni ya Huawei kwa ajili ya kukuza vipaji katika nyanja ya Teknolojia ya...

Serikali yaombwa kutoa Bima za afya kwa wapagazi

0
Serikali imeombwa kutoa Bima za afya kwa waongoza wapanda mlima (wapagazi) wa Mlima Kilimanjaro, ili kuwasaidia pindi wanapoumia au kupata majeraha wakiwa kazini.  Anaandika...

CCM tusijisahau – Rais Magufuli

0
Rais  wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amewaonya viongozi na wanachama wa CCM kuwa chama hicho  kinaweza kupoteza uongozi wa Dola ikiwa kitajisahau na...

Mbowe akemea vitendo hivi ndani ya CHADEMA

0
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amekemea vitendo vya rushwa na kuchafuana kwenye mitandao ya kijamii katika chaguzi za chama hicho.Mbowe ametoa kauli hiyo katika...

Umoja wa Mataifa watunuku kikosi cha kulinda amani nchini Somalia

0
Kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Afrika nchini Somalia (AMISOM) kimewatunuku maofisa wa polisi 13 kutoka Ghana, Kenya na Zambia, kwa juhudi zao...

RC Gambo takwimu za wazazi walioshindwa kuwahudumia watoto

0
Mkuu wa Mkoa  wa Arusha Mrisho Gambo, amewaagiza wakuu wa Wilaya kumpelekea takwimu halisi ya wazazi walioshindwa kutimiza wajibu wao wa kuwasomesha na kuwahudumia...

Sababu nne za ugomvi katika mahusiano ya kimapenzi

0
Kuna baadhi ya makabila hapa Tanzani wanaamini ugomvi katika mahusiano ni sehemu ya upendo, sijui kama ni kweli juu ya imani hii. Japo zipo...

Athari za kulala sana kwa mwanadamu

0
Imebainika kuwa kulala zaidi ya masaa 9 usiku na zaidi ya dakika 90 wakati wa mchana kunaweza kuongeza hatari ya kupigwa na kiharusi.Matokeo haya...

Ufaransa: Wafanyakazi wa reli watishia kugoma hadi Krismasi

0
Chama kikubwa cha wafanyakazi katika usafiri wa reli nchini Ufaransa kimetishia kwamba mgomo wao wa kupinga mageuzi ya malipo ya uzeeni ya Rais Emmanuel...

Maafisa Michezo lindeni viwanja vya Michezo nchini – Dkt. Mwakyembe

0
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe amewataka Maafisa Michezo kote nchini  kulinda viwanja vya michezo na kutoa taarifa ya viwanja...

TRC yaleta mageuzi makubwa miaka minne ya Rais Magufuli

0
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limefanya mageuzi makubwa katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Tano chini ya uongozi wa Rais...

Waziri Hasunga atoa siku 23 Skimu ya umwagiliaji Nanganga wilayani Ruangwa kuwa imekamilika

0
Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) ametoa siku 23 pekee kwa wakandarasi wanaojenga Skimu ya Umwagiliaji ya Nanganga wilayani Ruangwa kuwa wamekamilisha ujenzi...

Wakurugenzi nchini wametakiwa kukamilisha miundombinu ya Elimu iliyo chini ya miradi ya EP4R ifikapo...

0
Wakurugenzi wa Halmashauri nchini wametakiwa kukamilisha miundombinu yote ya elimu ambayo ipo chini ya miradi ya EP4R kwa asilimia 100 ifikapo Februari 15, 2020.Agizo...

Waziri Hasunga awataka wakandarasi wa mradi wa umwagiliaji wakajisalimishe polisi

0
Na Ahmad Mmow, Lindi.Waziri wa kilimo, Japhet Hasunga amewataka wakandarasi wanaojenga miundombinu ya skimu ya mradi wa umwagiliaji wa Nanganga, wakajisalimishe kituo cha polisi...

VIDEO: Kocha mpya wa Simba atinga mazoezini kwa kushtukiza, Mashabiki wampokea kwa shangwe

0
Kocha mpya wa Simba SC, Sven Vander Broeck, ametinga kwa mara ya kwanza kwenye mazoezi ya timu yake jioni ya leo kwenye uwanja wa...

Helikopta ya kijeshi yaanguka na kusababisha vifo vya watu wawili nchini Urusi

0
Helikopta ya kijeshi imeanguka na kusababisha vifo vya watu wawili katika mkoa wa Krasnodar nchini Urusi.Katika taarifa iliyotolewa na Wizara ya Ulinzi, helikopta ya...

Waziri awataka vijana kujitambua – MUUNGWANA BLOG

0
Na Thabit Maddai,Zanzibar.Waziri wa Habari na Mambo ya Kale Zanzibar, Mahmoud Thabit Kombo amewataka vijana Nchini  kutambua maana ya uongozi ili waweze kujiongoza wenyewe ...

Kocha mpya wa Simba aweka wazi lengo lake kwa Klabu

0
Kocha mpya wa klabu ya Simba Sven Vanderbroeck, amefunguka kwa kuweka wazi lengo lake kwa klabu hiyo aliyojiunga nayo hapo jana.“Nimekuja Simba ili kushinda ubingwa,...

Kocha Bora wa mwezi Novemba wa Ligi Kuu ya Vodacom atangazwa

0
Kocha Aristica Cioaba wa Azam FC  ya Dar, amechaguliwa kuwa kocha Bora wa mwezi Novemba wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) msimu wa 2019/20.

Stay connected

20,939FansLike
2,394FollowersFollow
2,199FollowersFollow
0SubscribersSubscribe

Latest article

Mambo ya kufanya hasa pale unapokutana na ugumu wa kushindwa katika maisha yako

0
Kushindwa na kufanya  makosa ni sehemu muhimu ya maisha yetu kama vile ilivyo hewa,chakula,na maji. Sote tunafahamu kwamba;Tunahitaji hewa safi, chakula bora, na maji...

Mfahamu mchezaji wa soka Santiago Cazorla Gonzalez

0
Desemba 13, 1984 alizaliwa mchezaji wa soka wa kimataifa wa Hispania na klabu ya Villareal Santi Cazorla. Jina lake halisi ni Santiago Cazorla Gonzalez.Cazorla...

AUDIO | Billnass – Mafioso | Download

0
DOWNLOADListen to Billnass – Mafioso byDJ Mwanga on hearthis.at   The post AUDIO | Billnass – Mafioso | Download appeared first on DJ Mwanga.